@msaniiwapanju: ANAEHITAJ MSANII JAMAN ANICHEK DM@DA MAMU @KING PANJUWAN @tway_online_store @Officialhanifa🌹🔐 @chado masta @CHIEF GODLOVE #CapCut #motivationalandinspirationalvideos #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

Nisha Actress💜
Nisha Actress💜
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 17:30:01 GMT
138633
10045
248
741

Music

Download

Comments

chief_godlove
CHIEF GODLOVE :
Naomba nimnunulie mchele jaman hatujamaliza ubwabwa Tena kuoga
2026-10-14 17:36:37
347
dattylion
Datty Lion :
Ivi alimuona nani kapandishaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 21:36:06
0
darkim.the.don
DARKIM THE SIGN :
so beautiful nacheka sana🤣🤣
2026-10-14 19:08:20
0
swahib876
young swaah :
tumewachoka sasa
2026-10-14 18:14:00
8
msaniiwapanju
Nisha Actress💜 :
JAMAN MBONA WATU WANAIGIZA WACHAW NA WANAVAA UHUSIKA KABISA KWANN MWANANGU MNAMNENEA HIVYO SIJAPENDA NDIO KWANZA ANAANZA KILA MTU ANATOA USHUHUDA WAKE 🥹
2026-10-14 18:08:02
54
damamu12
DA MAMU :
Huyo ni haitham 😂😂😂na zoya kdg 😂😂😂
2026-10-14 17:33:45
32
user56103146874825
🦋🌺mrs bale 🎀🎗 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kiti noma sana
2026-10-14 18:10:50
2
paxpalian07
Paxpalian_07 ❤️🎓 :
napenda tu unavyosema mtume majini[Tears of joy] jaman kapandisha[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] me hoii
2026-10-14 21:40:28
1
user3090437700849
neylahsway 🌤️🌪️ :
jamani kit atupumzishe tumetoka kwenye ubwabwa saivi kuoga 🤣
2026-10-14 18:09:41
25
zariha892
Zariha💕 :
ubwabwa lazima kuoga iyali 😂
2026-10-14 17:50:08
17
zawadimshauri818
Zawadi Mshauri :
nimempenda bule jamani
2026-10-14 18:03:52
12
chris_towntz
@Chris_towntz :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣 mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa. Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika, Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara kuna mtu katoka kigoma na baiskeli mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikuwa anatoka bariadi kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai maua sama ni kajifungua
2026-10-14 22:10:07
1
aman061382
aman😎 :
kumbe mtoto ni fursa[Laugh approved][Tears of joy]
2026-10-14 18:16:50
0
shuumomo0
shuu :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] uyu mtoto
2026-10-14 18:19:48
0
realhuda10
ᥫ᭡ 𝓗𝓾𝓭𝓪 ᥫ᭡ :
Bas mm kananchekssha aka katoto😂😂😂😂
2026-10-14 20:42:45
1
marymwaisela
Mary Mwaisela :
Nilichokiona mm anakipaji na akipata walimu wa sanaa ataigiza pia na vitu vingine
2026-10-14 19:20:42
2
shamshari.adamu
SHAMSHARI ADAMU :
noma
2026-10-14 18:32:32
1
mkwemba_kibeg3
MKWEMBA_KIBEG :
😂😂😂alafu huyuuuuu
2026-10-14 18:29:09
2
khadija.clara5
Khadija Clara🦋 :
😂😂😅😅😅
2026-10-14 18:20:34
1
nachundar
a❤️ :
ila kiti
2026-10-14 18:18:05
2
tabear.8
tabear :
Kwa kweli😂😂
2026-10-14 18:16:16
1
mishaz86
Momyce💍🦋❤️ :
Mtumeeee majini 😂😂😂
2026-10-14 18:51:22
1
layansalat
layan :
mashallah
2026-10-14 18:26:23
1
ramadhani90251
Thamarath :
Neeh nampend san mung amlinde na husda za watu
2026-10-14 21:21:19
1
ashura.haji1
Binty Haji🌷 :
jaman nii umenishinda tabua😅😅😅😅
2026-10-14 18:34:11
1
To see more videos from user @msaniiwapanju, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About