@dskileo: Mtumishi wa umma ananiambia “Kaka tuonane tubadilishane mawazo” mimi nikimjibu ataona namuonea, mjibuni nyie tu atasoma comment mwenyewe, sasa anataka kunipa mawazo gani 😂😂 Ukikutana na mtumishi wa umma ukimkazia macho, uso wake muda wote ni kama anataka kulia, most of times ukimuangalia usoni muda mrefu wanakua na sura zinafanana kama hawaelewi nini kinaendelea😂 do you know that look😅 Natania tu 😂
brandingdanny
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 17:40:48 GMT
Music
Download
Comments
Surisous🧚♀️ :
I Like your Lifestyle
2026-10-31 14:46:30
0
JOKER__ 🃏 :
kuna watumishi wa uma huwagusi hata robo bro tuishi tu ila usikadilie watu 🙏
2026-10-14 19:16:49
35
yohane vet🥼🥼 :
kk kila kitu umefanya vizuri ila hapo kweny Manchester hapo
2026-10-14 18:26:14
13
Chosen twins🎀 :
up coming billionaire 🔥
2026-10-14 17:49:30
7
chichi :
Hello billionaire 🤝
2026-10-14 22:05:15
0
Vanethilker💙 :
Ebu tuache 🤣🙌🏾
2026-10-15 12:17:39
2
chubbymimah :
Anything can be 😁😁
2026-10-14 17:51:51
0
Jamal E. M :
kosa la watumishi wa umma ni lipi jaman Tupambane wote na umaskini 🤣 where is this hate coming from
2026-10-15 08:10:41
1
Addy store🛍️ :
Noma sana🔥💪🏽
2026-10-14 18:10:32
0
Veronica :
🥰
2026-10-14 17:58:21
0
A.y.m.a.n :
daahh mbn wapenda kudharau Man u kak😳
2026-10-14 20:30:09
0
KIRIMA🇹🇿 :
Mkubwa.🔥🎬👊🏾
2026-10-15 09:04:02
1
MissGamalah39🍁 :
Utani Wa ngumi
2026-10-15 06:57:09
0
Betting brain :
kak tusamehe2 unatunyanyasa sana na man u yetu😅
2026-10-14 18:31:28
0
it's just becca😎😎😏😏 :
waoow leo nimewahi
2026-10-14 17:45:25
0
Zakiya :
kiukweli umenifanya nicheke 😂😂😂...
2026-10-15 11:12:47
0
nom :
aiseee
2026-10-14 17:52:21
0
BLeSS :
#Coyg 🔴⚪️
2026-10-14 18:36:30
0
Mike Tyga :
hata mimi asee mtumishi wa umma asinizoee kabisa😎
2026-10-15 05:07:15
0
BLeSS :
kaka shikilia apo apo😂😂😂
2026-10-14 18:36:10
0
binamu101 :
muonane au muoane
2026-10-14 18:15:20
0
Miracles :
i hate to say it but you are right
2026-10-15 08:07:18
2
B4 :
man u
hatuja kuudhi kaka tusamehe tu
2026-10-14 18:17:29
0
mallymonte :
ukiachana na watumishi wa umma na mashabiki WA man U Kuna Mimi nimetapeliwa na watu wa QNet hata mwezi sijamaliza#aiseee!!Bado sijaheal mpaka sasa🥺😩
2026-10-18 07:48:49
1
Ms_Kude💕 :
Danny na watumishi na Man U ni hivi 🫲🫱
2026-10-14 19:26:11
0
To see more videos from user @dskileo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.