@mansamussaxivcom: 🚨 KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA KUNUNUA HISA NA KUWEKEZA KWA AKILI! Unaweza kununua hisa za kampuni inayotengeneza faida ya BILIONI 700 na bado ukapoteza pesa zako! 😳 NMB, CRDB, TCC au TBL? 📈 Watu wengi wanakimbilia kununua hisa kwa sababu wamesikia kampuni inalipa gawio kubwa, bei inapanda au mtu fulani amewaambia ni uwekezaji mzuri. Lakini kuna swali moja muhimu wanasahau kuuliza... JE, NINANUNUA KWA BEI SAHIHI? 💰 Kumbuka, kampuni nzuri si lazima iwe uwekezaji mzuri. Unaweza kuwa sahihi kuhusu kampuni, lakini ukawa umekosea kabisa kuhusu bei! Kwenye video hii nimechambua hisa 4 kubwa Tanzania kwa kutumia taarifa za kifedha, gawio, faida na hatari zake. 🔥 Kama una Milioni 1 ya kuwekeza, usifanye maamuzi kabla hujaelewa haya! 🎥 Video kamili ipo YouTube. Link kwenye BIO! 👇 SWALI KWAKO: Ukipewa TZS Milioni 1 leo, ungechagua NMB, CRDB, TCC au TBL? Na kwa nini? Hii ni elimu ya uwekezaji, si ushauri binafsi wa kifedha. #HisaTanzania #DSE #NMB #CRDB #FinancialLiteracy
Mussa Baba’s
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 17:45:29 GMT
Music
Download
Comments
Prince Charles :
Annual Reports za Kampuni Nazipatia wap Brother
2026-10-14 18:20:15
4
Moseh! shoes :
kaka naomba tupitie jinsi ya kufanya analysis ya company especially fundamental (statistical analysis)
2026-10-15 03:55:16
0
Erick Kimani Jr 🇰🇪🇺🇲 :
out of line in some cases.
2026-10-14 19:48:35
0
Mr rior✨ :
hivi hizo taarifa za kampuni unazipata wapi.. Yani huwa natafuta sanaaaa
2026-10-15 06:25:30
1
Acquired lands & survey :
nataka kununua bond za Bot
2026-10-14 18:13:28
3
Caliara :
next
2026-10-15 02:48:00
0
joze.apollo :
badilisha jina musa babas wek proffsional name
2026-10-14 21:00:20
1
Mr Moshi finance :
big up
2026-10-14 18:33:32
0
Dalton David :
🥰🥰🥰
2026-10-14 18:32:48
0
To see more videos from user @mansamussaxivcom, please go to the Tikwm
homepage.