Mbona uko gizani?[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 08:37:48
2
Ãlhãbíbkítß Ãlhãbíb :
Mhe: Samia do something to this man post plz
2026-10-16 06:52:12
0
mgendereni :
tunaomba u posti Tena tukuoneeee ng'eduleeeeeeeeeee
2026-10-16 13:21:33
0
dhoulkaou nadjim :
haya babah keep talking...
2026-10-15 14:16:05
0
D.ster.Tz :
uzuri nikwamba Allah ana mama Wala baba ajazaa nawala ajazaliwa
2026-10-15 11:27:26
20
Athumani Ntamukiza :
Muache mama apige kazi, hii vita ni Kati ya kanisa na serikali
2026-10-15 07:23:26
14
JUMAKHAN@1717 :
kwani nchi imeenda wapi
2026-10-15 09:44:46
3
njox :
Kweli kabisa.
Dini inayoongozwa na mapepo inasumbua sana
2026-10-15 06:30:29
7
Mohammed Salum Hamad :
Nyerere ndio Nani?
2026-10-15 08:40:41
3
جيچا باڪر :
ان لل ه وان ا لحـ رجر ن
2026-10-16 11:28:49
1
SJames :
Sauti kama Ya Tesha
2026-10-15 08:57:33
5
alimgambo :
Asksr wa Allah wapo
2026-10-15 17:48:57
1
Muu Simba zee :
Yaani unatukana Mungu wangu alafu unaniambia tuache udini?
2026-10-16 09:07:34
0
Masoud mbarouk Masoud :
Hii dini italindwa na Allah pekee
2026-10-16 03:45:17
1
śĥìŕú🤔🇸🇭 :
daah 😂😂sjui nacheka nn 😂😂
2026-10-15 16:16:58
2
Juma Zunde :
nakutan sana anae mjua huyu atuambie
2026-10-15 17:25:25
1
zayyedaljahwary :
Sisi tuna marafiki kibao wakristo kama viongozi wote ikiwa nikuharibu au kuwekwa sawa niwote wakristo na waislam walishiriki
2026-10-16 06:34:21
0
Abdul kulika :
alafu usituusishe nauyo mama
2026-10-15 18:01:54
1
Freedom is coming soon :
Mimi ni mkristo lakini sikuungi mkono kuwatukana waislamu au dini. Umetenda kosa kubwa sana.
2026-10-15 16:44:18
9
MDUMULIYINYI® :
Tayari kumeshachangamka😂😂😂
2026-10-16 02:28:28
1
myname1708@#$ :
ALLAH AKBAR
2026-10-15 08:56:55
3
mambiola :
udini una husishwa kwa sababu kila akiongiq muoslaam ndio makundi yote muna ungana kudai haki akiwa mkoristo kimyaaaa sasa wakati anatawala mkiristo mbona hamuku8dai hiyo nchi kikwete mlikaba mpqkq akwapa rasimu ya warioba alipo ingia magufuli ajasema mm sina mpqngo na katiba mkakaa kimya sasa kwan8 haki ina wakati inatizama nani anatawwala akiwa dini a ana archway lon akiwa dini b lqzima advice haki sasa mngekua mnadai haki mh magufuli munge mbana kama mnavyo mama katiba ingepatikana
2026-10-15 18:33:34
0
Hafisa Y Maloni :
ASANT BROO NIKO NA WEWE HDI TUELEWANE TU👨✈️
2026-10-15 13:24:37
3
user2816238768198 :
subuhana llaaah
2026-10-15 12:42:17
4
moeh :
allahu wewe ndo unaweza kutoa hukumu
2026-10-15 16:47:10
2
To see more videos from user @barakaelias4510, please go to the Tikwm
homepage.