@swahilipotfm91.7: Mwanamke huvumilia mengi, lakini akifikia kikomo cha subira yake, hakuna kurudi nyuma.Akikunyamazia, ujue alishakuacha moyoni kitambo sana. @bahatingazi#swahilipotfm #thenightshift #fyp

swahilipotfm91.7
swahilipotfm91.7
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 14 October 2026 19:02:49 GMT
50392
3259
99
306

Music

Download

Comments

user5410809882762
Aggy45 :
Very true
2026-10-17 23:29:36
0
jamila.ngapawa
binti ngapawa :
chapu statas
2026-10-15 07:19:09
0
halimaabdallah712
Alhamdulilahi :
Hiyo ndoa iko ICU
2026-10-14 22:30:38
4
rose048154
Rose :
Wangu aamini, nililia abadilike akanitusi, sasa hivi anatamani niongeee. Hata pesa zake sitaki, akituma nareverse, alishanitoka, tuko pamoja lakini tulishaachana
2026-10-15 08:48:04
16
africansafari81
Africansafari :
Forget about kuchoka 😂😂 tell us the secret of your skin ❤️🥰
2026-10-15 06:22:41
4
offlcial19
lozimely 🤍🥰🦋 :
uyu mimi kbs 😂😂
2026-10-18 19:22:14
1
salmaomaya
salmaomaya :
kweli kabisa 💯
2026-10-18 11:15:43
1
asiabashiru
Umm Ahmed♥️🕊 :
Kabisaa dada umemaliza kila kitu
2026-10-15 11:24:42
3
dadyg_mobile
🦁♌ :
😂😂mimi Jana kaja nimepokea analeta attitude mbaya anasema anaondoka nikamfungulia mlango 😂kumbe alitaka nimwambie asiondoke ahh wapi
2026-10-17 17:02:06
1
azizamtwalizya4
azizamtwalizya :
naamin sana kwenye hilo
2026-10-18 11:25:19
0
elizabeth.moleli
Elizabeth Moleli :
ndiyo nilivomwambiya wakwangu kuja shutuka wapi mimi simuelewi alijuwa sito muacha
2026-10-17 19:36:34
0
hadija.sawa6
MRS M,H,B🥰🥰💋💋💋❤️ :
Nikweli dada
2026-10-14 20:12:16
2
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Hakika
2026-10-14 19:32:21
1
user9034320503061
user9034320503061 :
dada ndiyo Mimi kabisa... toka nimejua ananichiet nipo ivyo
2026-10-15 04:52:14
1
mss.k54
💓salma kassokhan 💓 :
ah mi nishamuacha zaman .....ata akinitumia mssg najib baada ya 2 weeks
2026-10-15 12:24:15
0
mwana.madusi
Mwana Madusi :
Yah
2026-10-15 04:37:44
2
user54152738120587
user54152738120587 :
kweli kabisa
2026-10-18 11:12:00
0
madam.ritaya
Rita :
kweli kabisa
2026-10-14 21:19:06
0
faizah.kocky0
Faizah Kocky :
Kweli kabisa dada kama mimi hapa nimechoka kabisaa
2026-10-19 16:47:02
0
maulidmsongoro
Maulid Msongoro :
ipo siku nitapa
2026-10-17 16:26:12
0
user2070426349250
Queen :
nilimwambia siwezi last year anafikiria Bado Niko na yeye
2026-10-19 07:50:13
0
user55999794winfred28030
winfrend kariuki :
true
2026-10-17 19:08:44
0
mamakegianna265
mamakegianna265 :
ndio mim apa
2026-10-17 19:08:05
0
asmeen355
Asmeen3 :
very true
2026-10-17 16:59:23
0
halimaabdallah712
Alhamdulilahi :
Kwali.kabisaaa
2026-10-14 22:29:05
0
To see more videos from user @swahilipotfm91.7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About