@isleblogtv: #isleblogtv UNAIJUA MAANA YA NENO CHAMANANGWE NA ASILI YA NENO LENYEWE

isleBlogTv
isleBlogTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 19:17:44 GMT
11480
375
30
13

Music

Download

Comments

teacher.bychance
Teacher by-Chance :
Ripota: Nakushkuru Babu yangu: Aameeen [Tears of joy][Big LOL][Tears of joy][Big LOL][Tears of joy]
2026-10-15 17:57:06
1
ghamidhassan
comred wa zanzibar :
wa kiuyu tujuane
2026-10-15 12:24:50
3
ally40056
Ally :
jina lahapo palikuwa panaitwa bandani
2026-10-15 10:29:58
1
.a34469
𝑂𝑐ℎ𝑢 💥💥 :
𝑛𝑖𝑚𝑒𝑤𝑎𝑜𝑛 𝑤𝑎𝑧𝑎𝑧 𝑤𝑎𝑚𝑎𝑟𝑎𝑓𝑖𝑘 𝑧𝑎𝑛𝑔
2026-10-15 13:28:45
0
fahmi.sabir7
HARITH AL-FARSIE :
DR.SAID UMEJIBU VIZURI....
2026-10-15 12:24:50
1
ahmed_elabry
ahmed el-abry :
uyo Mzungu alikusudia kusema "Cha Mwanangwa" lakini akashindwa kutamka vzr ndo mkasikia Chamanangwe
2026-10-15 21:05:05
1
arsad938
baby nuuman :
Pemba yetu 🥰🥰
2026-10-16 14:34:37
0
champion6871
Champion :
pipo mwenyew
2026-10-15 10:46:43
0
khamisfaki875
shoka :
shida ni sijapata India hasa
2026-10-15 11:23:31
0
hamadhamad4829
Hamad Hamad :
Rashidi Kome kazungumza vizuri
2026-10-16 11:38:20
0
khalfankhalfan120
Khalfan Khalfan :
Dr. Said umejib vyema
2026-10-15 18:16:41
0
hajj.nyambu
Hajj Nyambu :
pipo kaka yg au hamad sultani kiuyu ndo kwetu,maana yapenjewani nifurahini na chamanangwe ipo mbali na chamanagwe pia huyo mzungu alikuwa anaitwa brayani alikuwa anaishi hapo bandani karibu na chamanangwe maana yake wengi wakazi wapemba,lkn nisehemu yenye madudu sana pia kuna mto namlima mkali wakushuka nakupanda.
2026-10-15 14:54:49
0
saidabuubakarmohd
SAM :
Sasa ipo hivi, Hapo kwenye maonesho asili na jina lake rasmi hasa ni Penjewani, na chamanangwe ni sehemu nyengine takriban kilomita 3 mpka 5 kutoka hapo ambapo maonesho yapo. waandaaji wa maonesho wajitahid kutumia jina rasmi la eneo la maonesho Ambapo ni Penjewani.
2026-10-15 14:14:02
0
hamadhamad4829
Hamad Hamad :
Pipo huo anaitwa
2026-10-16 11:35:01
0
raya.suleiman90
Raya Suleiman :
asili ya chamanangwe waulize watu wa mchangamdogo watu wakiuyu hawifaham
2026-10-15 13:56:54
0
neema.hamad
Neema Hamad :
mana ya chama ni hama na nange ni watu wako kwa hiyo ni hama na watu wako
2026-10-15 15:54:28
0
washi.boy78
washi boy :
mulize mau mpemb anajuw
2026-10-15 20:17:06
0
babliyzo.ali
Babliyzo Ali :
chamanangwe nijini yupo apo musiwafiche watu
2026-10-16 16:48:09
0
179098s
Bin Abdalla :
una nangwe wewe broo!
2026-10-15 08:34:10
0
mlatino11
mlatino :
😂😂😂
2026-10-15 09:08:51
0
abdillahiswalleh
Abdillahi-outfit Mpemba nimmoj :
😁😁😁
2026-10-15 10:48:44
0
sina.jema
Sina jema :
🥰🥰🥰
2026-10-15 11:21:26
0
mlatino11
mlatino :
🥰🥰🥰
2026-10-15 09:08:48
0
To see more videos from user @isleblogtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About