mwinyi real Madrid basi hujaona Barcelona baba au timu nyengine😅😅
2026-10-15 03:41:10
13
Harun Hassan :
wabong ss tunaondok 😁
2026-10-14 21:53:52
19
ABAC JR :
Ah Kwa real Madrid mie sisapot ingekuw Barcelona aaaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-15 06:25:45
0
Unwritten... :
Good news 👏
2026-10-14 22:33:34
0
Hamid Haji Makame :
Wonderful my lovely President
2026-10-14 21:43:08
2
MEDIATOR✪ :
alhaj dr. hussein ningeomba zile cctv unazofunga mabarabarani kwa ajili ya vyombo vya moto uziondoe maana vijana tutakufa njaa zanzibar hali ni ngumu sana 🙏🙏🙏🙏
2026-10-15 05:29:37
5
mpembaawizee24 :
naaam kinachonifurahisha baba unawaza maisha ya mbali hongera kwa kazi kubwa ya kuitangaza zanzibar yetu n kuiletea maendeleo ya juu
2026-10-15 03:05:58
11
Cancel :
maisha bado magumu
2026-10-14 22:22:42
3
Abdillah hussein :
waje na timu yao tucheze nao mench
2026-10-14 21:14:01
8
Samira Mohamed :
i love it
2026-10-15 04:21:35
0
Bayser :
Wakini isiwe Barcelona huyu jomba nae kwakuekeza tu
2026-10-15 04:19:09
2
Bint Ahmed :
Mwinyi ndo mkombozi wetu wa Zanzibar hakuna kama Mwinyi Allah amuhifadh
2026-10-15 05:46:19
2
EESSEYY :
Uwekezaj mzuri na umefanyika sehemu mzr
2026-10-15 05:27:35
1
Fabolizo Mafyonso :
Hongera Muheshimiwa Raisi kwa jitihada zako ila mm km Binadamu t nakkumbusha watu wana njaa sana Nchi hii Punguzeni Maushuru na makodi na mafaidi makali yenye kuumiza wanyonge Raia wa Chini wana hali ngumu sana Muheshimiwa labda inawezekan hujui na watu wa karibu hawakuambii haya ila Zanzibar saiv watu wingi wanashindia mlo mmoja tu pita chini huk mitaani ujionee.
2026-10-15 05:41:49
1
santyza :
dah! apo umefeli mzee kwanini isiwe barca maana madrid hamn cha maana kwa sasa
2026-10-15 06:29:18
0
karume43 :
huyu ndio mwinyi💪💪💪
2026-10-15 04:56:46
1
Muddy_handsome1 :
Madirid is the best option kwasabab ndio Club kubwa duniani safi Raisi wetu
2026-10-15 05:06:52
1
user145307859284 :
nilidhani Zanzibar ni mwanachama wa FIFA kumbe biashara ya mtu
2026-10-15 01:23:23
1
Sumalee :
Asante baba
2026-10-15 03:05:30
1
Asha said loffy :
MUNGU AKUONGOZE RAISI WETU HUNA BAYA BABA HATA SISI WAZANZIBAR TUMEFURAHI[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-15 04:20:25
1
LAMINE』YABABI :
oya apo nimepend ndugu zetu wamepedwa Raisa wetu tunampenda sana
2026-10-15 03:04:10
1
Babliyzo Ali :
hongera doctar mwinyi
2026-10-15 03:04:18
1
MGM :
Lamasia ingekua poa mzee
2026-10-15 07:36:00
0
To see more videos from user @imadiabeid, please go to the Tikwm
homepage.