@daktarimamanoorofficial: Replying to @liza14690 #mamanoor for more remedies comment

MAMA NOOR OFFICIAL
MAMA NOOR OFFICIAL
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 14 October 2026 20:53:40 GMT
393634
13295
674
2487

Music

Download

Comments

nyar.kwe.gi.lamo
Nyar Kwe Gi Lamo :
sasa kukojoa pia ni ugonjwa? mimi nilikojoa mpaka form 4
2026-10-15 06:35:46
185
skylar34677
favour :
brother angu alikuwanga anakojoa Hadi anaamka akitoa moshi
2026-10-15 12:57:10
128
malesi11
malesi 72 :
mimi nisaidie dawa ya kigugumizi it's getting worse masikini kijanangu🥺
2026-10-15 07:11:19
29
marksmann170
Mwana Mboka. :
Na ya kupupu kwa malazi ni hio mahindi yenyewe ama?
2026-10-15 14:13:43
26
user61171nyarotis
Flo Barbra :
na sasa wazazi wangu walikua wapi nkakojoa adi class six surely 🙄
2026-10-15 12:25:32
12
gracey_tasha001
Grace Charice💗 :
that's true..I tried it nikampea for one week aliwacha kabisaa
2026-10-15 10:23:07
15
carennoteba
Carren Nyongesa nyar kimilili :
nakojoa hadi kwa bwanangu na hakuna kitu utaniniambia😂😂
2026-10-16 17:31:54
8
user74916820155596
Silvia di anne :
Mzee wangu aneza kunywa anakojoa mara nne kwa malazi ako n35 years
2026-10-15 06:34:35
6
samuel.mitalo
Liana :
na dawa mtoto ambaye homa haishi makamasi kila wakati haiskii dawa
2026-10-15 12:23:32
13
susanjuma2020
shakila mohamedi :
nipe dawa ya kuacha pombe plz
2026-10-15 04:46:33
6
beverlynekasiti
Bever 🦋🦋 :
hio nayo nidawa ya ukweli
2026-10-15 12:44:45
1
mamakebrithonh1
moraa 💙💙 :
Dawa ya kuaja pombe please
2026-10-15 15:43:24
1
simonakeki
ake :
na dawa ya kunyamba kila saa wakati wa kukula mezani Iko?
2026-10-15 20:49:54
0
janenyamasiro1
The Favoured👏❤️‍🩹 :
do you Kuna watu Bado wanakojoa Hadi kw ndoa
2026-10-16 04:18:01
0
user82395116811231
mama toy :
huyu ni wangu
2026-10-15 06:06:55
1
sylviawinnoz4
Sylvia Winnoz :
dawa y mtoto mwenye ako n vidonda kwa kichwa
2026-10-16 15:05:14
0
heshimajaphet
heshima japhet :
hapa ukweli mtupu hata nikona katibu kifundisha hivo hivo.
2026-10-15 06:57:06
6
sweetclot
sweetclot🥰🥰 :
yes hiyo ni dawa my mum used to give to my sis n it works
2026-10-16 04:15:13
1
joycemoraa6380
Omwanza🦋🖤🇶🇦 :
So hta mtu mwenye ako above 18 yrs anaweza tumia ama n watoto tu
2026-10-15 14:36:42
4
user3266198176109
2×4 =>M :
jambo dada mama nuru nitumiye dawa yakupunguza tumbo
2026-10-15 05:25:00
0
marietashie6
Marie💕Tashie💞 :
na dawa yakusaidia mtoto aongee
2026-10-15 10:59:56
3
floice_nyota
Floice Nyota :
na kung'orota je?
2026-10-15 09:32:14
0
lucythegoldheartedwoman
Lucythegoldheartedwoman :
Miki nilikojoa mpaka form one, kwani iko nini
2026-10-17 15:30:01
0
user2308471156998
Nancy nyanchama :
dawa ya kutapika ukipanda gari he?
2026-10-15 13:22:13
1
bentamuramba535
bentamuramba535 :
thanks 👍♥️
2026-10-14 21:35:12
1
To see more videos from user @daktarimamanoorofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About