Tena utaishi kwa raha sana ukipendwa ww hatokucheat nliolewa sikumpenda nilipendwa mm nlienjoy sana nkaja kumpenda taratibuuuuu hd tukapendana tuliishi kwa raha sana miaka 6 ya ndoa yetu nlifanyiwa kl kitujmn uwiiiio R.I.P mumewangu😥😥
2026-11-02 19:26:09
1
Sarah Ally :
me nakupenda kama rafiki tu kipenz 🥰🥰
2026-10-15 06:34:45
2
رايفا آليi :
mimi apa hawadh wangu♥♥
2026-10-15 08:14:12
3
Ney🌹🤗 :
Hakika ❤️❤️❤️❤️❤️🥰
2026-10-15 10:27:23
2
zai mnubi 🎀💜 :
nipo apa babaa❤️
2026-10-14 21:02:49
2
esita joshua :
je kama ni mme wa mt akikpenda umpende akimsahau mke wake lawama kwa nan
2026-10-16 14:11:26
0
Naila the Razan💥 :
Point
2026-10-14 21:35:09
2
cute neema :
mmh unawez mpenda mtu na akakuliza
2026-10-15 07:14:25
1
shaommy official :
we nipende tu me ntatumia upendo wako unatosha me ntasimama kwenye kutii na kuheshmu bas kupenda sio kazi yangu
2026-10-19 22:49:00
0
salha :
sahihi kaka
2026-10-16 15:04:29
1
Swaumu Omari :
nakupenda babaa
2026-11-05 05:58:24
0
modesta :
mh kwl sawa broo nakupenda
2026-10-15 07:16:01
1
sara sara :
Toka nime zaliwa mpaka umri huu sijawahi pata furaha yaku pendwa
2026-10-16 05:14:38
1
sadun seleman :
tunazidi kusababisha broooo
2026-10-17 20:50:22
1
S. Brinaaaa 🎶 🌹🌹💃 :
2026-10-17 05:58:31
1
official momy :
kbs umeongea ukwel
nimekuwa wa kwanza
2026-10-14 21:02:32
0
Fatuma Mohamed :
hyo inakuwa mapenz ya upande mmoja ni ngumu mwanzo ila ukimpa nafasi unaweza kujikuta unampenda pia na utakuwa na aman sana japo kupenda ni hisia nzuri sana lakin zinaumiza sana ukixipeleka kwa asiekupenda upande wakupendwa hupend ni mgumu ila jipe muda tu utaelewa
2026-11-03 16:54:02
0
Ishaa Tz🥰 :
mm.
2026-11-03 23:35:41
0
anastaziammruga :
nakupend
2026-11-05 12:02:03
0
maria :
❤️
2026-11-04 21:16:34
0
Pendo Jackson :
Ni kweli ee 🤲
2026-11-05 11:09:55
0
Precious Esha :
ndoxwkt nilionao ss bas acha nijilzmishe kupenda at kw wizi uwenda bdae akajaa moyoni🙏
2026-11-03 23:36:48
0
Charityneyla Muhammed :
jaman mm naomba nikupende ww 🙈
2026-10-14 21:04:43
0
To see more videos from user @captain_onesmo07, please go to the Tikwm
homepage.