@muhammadalhaidar69: Replying to @user6214371714860

MUHAMMAD ALHAIDAR
MUHAMMAD ALHAIDAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 21:23:38 GMT
59827
1958
90
715

Music

Download

Comments

cute.og3
cute 😍 :
mi ndo nakula kila siku
2026-10-15 05:02:34
7
shanifa44
SHANIFA :
leo nimeota nakula maandazi jaman
2026-10-15 04:19:47
4
user859950631555
mwana :
Asante
2026-10-15 04:19:12
1
miles_shop6
MAPUGA :
Kwa dini nyingine tunfanyaje.. maan kusoma hizo aya ni mtihani kidg kk
2026-10-15 11:35:02
1
bimkubwasaid613
Bimkubwa Said :
sheikh mie naomba tiba kwako mwanangu anahisi kitu kooni na akila chochote kubanwa napumzi jee unamsaidiaje namwanafunzi wa muaka 16 17 tu afanye nini ili acidi imtoke
2026-10-15 04:39:47
3
mitomingi51
Mitomingi :
Hapo kwenye unasema tuseme maneno hayo, basi ushanibagua kwenye matibabu yako😁
2026-10-15 03:33:55
3
kidawasalon
KIDAWA SALON 💇‍♀️ :
sasa wengine hatujui kusoma tunafanyaje sasa
2026-10-15 12:24:38
0
mariam30538
🐰@ mamu🇹🇿 :
Hakuna siku nilikasirika kama siku walionilisha mboga za majan sasa sijui nyama walikosa😅 Iliniuma sana
2026-10-15 13:15:40
0
johasaid426
Johairiya saidy❤️ :
maji ya moto au barid ama kawaida tuu?
2026-10-15 12:35:42
0
mamygian2022
MamyGian :
Hyu nimimi wallah naandamwaaa mhhhh
2026-10-15 02:58:25
1
s.f.z62
s :
shukran
2026-10-14 23:28:32
1
mariamsule10
mariamsule10 :
unapatikana wap
2026-10-15 04:38:35
1
user4805830318678l
user4805830318678lizy :
asante
2026-10-15 04:33:06
0
vickkivuyo31
vickkivuyo3 :
niweli kabisa inasaidia
2026-10-15 06:16:00
1
user9480214813752
unjuvicky :
uko wapi?
2026-10-14 23:19:33
2
user585961993088
plister Sadat :
amin
2026-10-15 06:15:33
1
joharykhalifan
Johary Khalifan :
shukrani
2026-10-15 05:24:18
1
spiritofshaka
SpiritOfShaka :
kila nikiota nalazmishwa kula huwa mdomo haufunguki na mwenye kunilisha hufa sijui mbona
2026-10-15 02:35:43
2
hamishamis626
Hamis Hamis :
upo wapi shekhe
2026-10-14 22:37:53
1
kahengaayubu
KahengaAyubu :
nzuri ila hapo kwenye chumvi mimi ndio imenishinda sababu ya plesha
2026-10-15 05:39:44
1
queen2016a
queen :
naota nlikula haraka haraka na kuna dada pia alkuwa anakula polepole
2026-10-15 07:07:35
0
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
hatari sana
2026-10-15 13:17:35
0
johasaid426
Johairiya saidy❤️ :
ostadh hiyo aya ipo kwenye sura ganinna ni aya ya ngap? na nasoma mara ngap?
2026-10-15 12:41:36
0
user4381303500668
Binti jei :
shekhe Yale maelezo ya uradi wa kupata ndoa pamoja na majani ya mkunazi huja tumalizia .
2026-10-15 12:38:34
0
shishysuley
shishy suley45 :
Niko na mimba changa sasaiv ndoto zakula na kufanya mapenzi Zina iandama sana
2026-10-15 12:44:59
0
To see more videos from user @muhammadalhaidar69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About