siwezi hama kigamboni aisee huku hatuyajui hayo mambo ya foleni
2026-10-15 05:43:40
40
YundeLamar :
Adventures za goba 😅🔥🔥
2026-10-14 22:54:40
4
Minniemumy🥰 :
Umesahau matuta, matuta jamani🤣🤣🤣
2026-10-15 05:04:43
12
Ms.Glorie🌸 :
Mm had naanza kutoka vigimbi nduguu jirani yangu😂😂💔
2026-10-15 13:39:06
1
Jackline T Ndos :
Kutoka mliman mpka Goba kuna matuta 37😁😁
2026-10-15 04:06:40
10
walter_collection :
Apo braggin..
2026-10-15 08:40:55
2
Annie❤️ :
Sitosahau nilitembea kutoka kwa sanya ad kwa awadhi 🥹🙌
2026-10-15 07:01:29
7
Larneygracie🥰 :
Umesahau kuwaambia ukiamua kukaa goba usiwe mtu wa kupanic ovyo🤣. Maana huku kukosa maji miezi hata 2 sio shida zetu🤣
2026-10-15 10:51:18
5
its_isha@ :
Jmni😄😄😄
2026-10-15 05:06:27
3
🦋Kim Nii🦋🎧🎤 :
yaaan mi nachokaga jmn bajaji bei kubwaaa😫😫
2026-10-15 08:20:58
4
Kinondoni gasstove supplies :
Kutoka kino sa4 usiku had ufike kwa awadh urushwe na boda mpka hme vle vilima 🙌 miez 6 sijageuka nyuma tena 😂😂 😭
2026-10-15 10:33:47
3
سعدة 🤍 :
Kwa kweli niliishi goba ni hatr ila nmehama jmn 🤣🤣🤣
2026-10-15 12:02:43
1
mama Ozil :
Imenikuta jana dah nilitaman kulia wallah
2026-10-15 08:33:34
1
KTrends Accessories 🎀🛍️ :
Goba inatunyoosha😂😂 vilima jaman🙌🏻
2026-10-15 09:29:25
1
OB :
SLIDE NUMBER 5 NIMECHEKAA SINA PUMZIKA eti ukiona road imeenyokka sio.Goba hukoo😂😂
2026-10-15 08:22:12
1
khaledmhina :
CC WA KWA ULOMI HATUNA PRESSURE
2026-10-15 10:11:08
1
Miss P😍 :
Na Ndio tunapapenda atar😂😂
2026-10-15 05:55:29
2
Nuraidath🤍 :
Jana ikabid nimwambie bolt amalize tu safar pale kwa awadhi nitembee hadi goba center nibolt tena boda niende njia nne njia ya madale😂😂 foleniiiii ila napapenda na sihami😂🤣
2026-10-15 10:28:36
1
Esther🩶 :
Lile folen la pale round about ya kwend makongo na mbez shule je😂😂😂
2026-10-15 11:54:58
1
🌸Ayler🧕🌸 :
Nabado ukishafika Center kunasafari yakwenda Majengo inaanza unaweza ukalala pale round about Wallah😂😂
2026-10-15 05:17:25
3
priscy :
bora nyie kuliko sisi wa bunju
2026-10-15 10:19:51
2
Happysmile..♏️ :
Anza kanuni was necessary 🤣🤣🤣
2026-10-15 04:24:19
1
Sharon Elly79 :
Kwa awaziiii msikitiniii huko kuna nyumbaaa pambeeee👌 sihamiiii mm😂
2026-10-15 08:35:20
1
我是 🐒 🌸 :
mbagala yangu 😅
2026-10-15 08:15:43
2
To see more videos from user @clein_cassey, please go to the Tikwm
homepage.