@im.adry6: Huyu binti alimsaliti jamaa siku moja kabla ya harusi alimuaga anakwenda saloon kumbe alikuwa kwa mchepuko wake. Ambaye ni boss wake kazini. Na mshkaji akaja kugundua baada ya watu kumuambia. Akajua tu hakuna maisha kati yao. Na ilikuwa hamna namna sabu ndoa ilikuwa tayari na maandalizi ghalama kubwa waliitumia. Ikatakiwa ipitishwe tu ila jamaa moyoni alikuwa anaumia vibayaba.. !! !!!! !! #foryou #trafficrules #roadsafety #Tanzania #❤️

ADRIAN.
ADRIAN.
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 14 October 2026 23:48:05 GMT
137084
5224
266
710

Music

Download

Comments

becky__divah
Rebby🤎🤍 :
Bora walijikaza watu tushibeee tuu😂😂😂
2026-10-15 05:51:25
106
bambodgvgja
🌸maua :
Walijitaid kwa kwel[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 10:36:38
0
josephfelician
J%seph Felician :
wakati tunakua kaka zetu walifanya sherehe tulijua hiyo ndio ndoa.lakin waliandaa shereh na kualika watu..na maisha yalidumu.wakatu huo makanisa ya parokia machache yaan alipo padre ni mbali.wenge uwezo walienda kufunga.lakin unaweza kufanya sherehe na usifunge ndoa..ndoa na sherehe ni vitu 2 tofauti...ndoa ni kusain mkataba wa kumuongeza mtu mwingine kwenye maisha yako na kumkabidhi haki.kila kilichochako ni haki yake..ndoa ni kwa watu mafukara.tu sababu mkiachana ataambulia ndoo za maji na tv nch 24.kama una mali.usisain mkataba wakuja kuua kwa presha baadae..mkiishi miaka hata 30 lakin hamkufunga ndoa yaan hakuna cheti kilicho sainiwa.mahakama haitawatambua kuwa nyie ni wana ndoa bali mtasema mliishi kama.mtu na mke au mtu na mpenz..bas mahakama itagawa mali kutokana na umliki...kama umenunua tv na lisit inajina lako.basi unachukua kama kwenye nyumba alichangia milion 4 za cement awe na list.au stakabadhi..mnaweza kuishi bila kufunga ndoa na akawa mkeo au mumeo na sheria inatambua kuwa miez9 hadi miaka 2.tayari ni mkeo .ila sio wanandoa🤣🤣🤣🤣
2026-10-15 10:46:42
11
jayrasta04
Jayrasta :
gharama ya kufunga ndoa na kuvunja ni gharama zaidi kuliko kuacha kufunga
2026-10-15 04:35:55
173
joy366662
Joy :
Uyu dada nampenda Dorcas alieimba yeboyebo
2026-10-15 05:24:53
7
prisca.alphonce
prisca_mtumba_katavi 🛍️🛒 :
was Kula necessary ?
2026-10-15 09:24:06
0
the.girl4311
the girl⚜️🌼 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]jmn mungu tusaidie
2026-10-15 08:18:11
0
madamegee7
MOMY COlle❤️Colli🦋💖 :
Na Tusingekula cjui wangeniambiaje kuhusu mchango wangu🤣😂
2026-10-15 11:27:39
0
esnathramadhanishaban
asna💫💦 :
Sasa kwann waliamua kufunga ndoa ikiwa hawako tayari jamn😭😭😭🙌
2026-10-15 07:34:17
12
anitha.rafiki
Anitha Rafiki :
Poleeen sana ila kuna mm natamn nipate mwanaume wa kutoa aibu siwez kumsariti amina
2026-10-15 05:38:27
18
mimaah031
minart😍 :
mbona huyu kama ni yule dada mnyarwanda anaimba gospel doricqs song name (yebo) au sie jamni
2026-10-15 05:16:31
26
sailaka_
sailaka_ :
Each and every single Day napata sababu mpya why i shouldn’t get married
2026-10-15 07:21:51
0
cute_morio
cute_morio :
Nasikia ety mwanamke alimcheat jamaa Siku moja kabla ya ndoa sasa sijui ni kweli 🥺😩
2026-10-15 08:37:28
8
jbeauty236
CHIMBO LA FASHION MWANZA ✨😍 :
Kwanin anasikiliza maneno ya watu 😳
2026-10-15 05:28:33
6
kennyjohn009
kenny sasa :
daa maisha yamekuwa hesabu ya probability
2026-10-15 04:03:38
8
annajosefph
Anna joseph :
Kwan kilitokea nn had waachane
2026-10-15 03:01:21
4
calvin.kevoo
Calvin Kevoo :
mimi huwa sivumilii vitu kama hivi siku hiyo hiyo kabla ya harusi hawahusika wote wangejua hakuna harusi
2026-10-15 05:54:26
7
.raj2316
Comfort 💖 :
pale madhabahun angekataa 😢😢😢 mama angu alishawah kumshaur mdgo wake asiolew na mwanaume aliekuw nae dem akakaza fuvu mama akamwambia ingia kweny maombi utanielew dem akagoma mpak ile sku ya ndoa mama akamuita mamdog ten na akamwambia hapa unakoingia patakuumiza akamwambia ukifk madhabahun usiikubql mdog wangu eeeh dem akakataa alivobeba tu mimba mambo yakabadilk baada tu ya kujifungua mwanaume akatowek mpk leo mtoto ana miaka 10 hajawah kumuon huyo baba wal hajawah kutum matumiz 😢😢😢
2026-10-15 06:23:34
7
giftshayo820
SHAYO G :
apo kuna mambohayo✌️
2026-10-15 11:02:59
0
user9617665724953
Anna :
kwani walilazimishwa kuoana
2026-10-15 07:57:20
1
alexreubenlucas
BujibaTz@ :
passo
2026-10-15 05:22:44
1
mageti24
Saida🧕🏻 :
Story za Ai zimeanz kuja real life😂
2026-10-15 10:27:15
0
amy.master4
Amy master🎯 :
najikuta naumia kama ni mim nimefanyiwa ivo..
2026-10-15 10:31:59
2
linahlenny2
Linah Lenny❤🤍 :
ILA MAMBO HAYA HELA YANGU YA MCHANGO NDO INANIUMA
2026-10-15 08:37:09
1
peopleyoumayknow311
people you may know :
Mwanaume ni ujasiri na uvumilivu maamuzi sahihi kwa wakati sahihi
2026-10-15 09:45:56
2
To see more videos from user @im.adry6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About