@mbwizzo: Tunashuhudia timu ya kihistoria, PSG kashinda tena. Manchester City 2-4 PSG . #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #mbwizzo #psg #manchestercity

Mbwizzo DZO
Mbwizzo DZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 01:19:24 GMT
132330
9192
569
80

Music

Download

Comments

essien.lyimo
Boss lyimo 🤘 :
hahahhha www Chelsea mbn tuliwafunga world cup
2026-10-15 05:49:51
0
jfigo78
jfigo :
Chelsea 💙💙 3_0 PSG
2026-10-16 04:17:36
0
alekii052
Alex muchui 254🫣💯✌️ :
tulia mamuuu 😅😅
2026-10-15 06:22:01
34
theboy.fundi
Theboy Fundi :
wew sio Barca ya msimu huu
2026-10-15 02:57:11
90
chris_jersey
@CHRISS_SPORTS :
Ninamechii nao wotee wawilii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 04:52:41
3
derickbagwiza
Real engine ....⚽ :
psg kumbe Ina mashabik
2026-10-15 02:04:13
55
adzan._467
Adzan :
saw mwenetu mech ijayo c anakutan na barcelona.😁
2026-10-15 06:10:19
39
keenjiddenah0
Jiddenah Official :
bahasha ake uyo hapo anamjua vizuri 😁😁😁
2026-10-15 06:29:00
6
lifeischange36
معذى بن العزيز :
usionge Sanaa, mechi ijayo munacheza na sis Barcelona 😁team 😁 lamini yamal 🤴 💖
2026-10-15 04:32:16
11
robert.rizik7
Robert Rizik :
Manchester united
2026-10-15 17:35:12
1
troxie_101
Troxie :
umeanza kushabikia psg 2024😎
2026-10-15 03:48:47
24
kinundason05
kinundason05 :
psg something difficulty invisible team
2026-10-15 01:29:59
1
agnesobuya5
KING 🤴 :
PSG TO THE WORLD 🌎
2026-10-15 01:51:41
14
blacamericana
Hemedharryjasu :
Nilikua naangalia game nasema mwanangu mbwizo ana tunga mashairi huko akere watu 😅
2026-10-15 02:43:10
5
justrealkidayo
ju$t!realkidayo⚡️😈 :
PSG kumbe ina mashabiki
2026-10-15 01:26:06
10
sizya2002
"DRAXLERSIZYA23" :
hii video yako naituma kwa Chelsea wakuskie
2026-10-15 15:15:38
1
badywiddy
Badywiddy@ :
kaka Kuna barca ya lamine ngoja tuone wakikutana
2026-10-15 04:31:57
6
kamandajah123
kamandajah123 :
sawa tunatunza hii post😂😂halafu tutakutagi
2026-10-15 01:31:48
9
mncblaxsimbeye2
.💫 :
Sisi sio milima Tutakutana
2026-10-15 10:17:24
2
lungabwoy7
flemmah :
arteta akiwa serious anaweza iuwa
2026-10-15 06:25:25
0
adammsigala845
Adam Msigala :
Sijaona team ya kuisumbua psg UEFA
2026-10-15 16:26:53
0
user97039902052588
elkana koitumet :
Chelsea iliwafanyia Nini????
2026-10-15 09:51:25
1
mirajboy11
miraj😎 :
kaka umenifanya jana nikaangalie ball na nimeenjoy sana 💪
2026-10-15 08:49:48
1
x.tank.you3
x TANK YOU :
Barcelone ya sasa hivi
2026-10-15 05:10:48
1
amazingfootball598
benny blanco :
kumbukeni real madrid karudi upya
2026-10-15 10:58:25
2
To see more videos from user @mbwizzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About