@trending1808: Ila maisha ya town. #videoviral #capcut #fyp

trending1808
trending1808
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 01:47:59 GMT
28851
637
64
384

Music

Download

Comments

salomepeter255
Salome 🍓 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]hali ningumu saana huku Dasalama
2026-10-15 14:34:58
0
chum_589
chum👩‍🎓 :
mm asipokua makini atalipa ela ya taka na ulinzi
2026-10-15 12:58:59
8
user941263920652
user941263920652 :
Huwa nikienda dar nafikia gest sitk kumzoea mtu
2026-10-15 06:30:08
7
gersonivibes1
Gersoni talks :
kila mtu afanye mitiksai yake Asehee
2026-10-15 09:26:30
2
noeld8686
noeld868@ :
Wageni mtupumzishe 😂😂
2026-10-15 06:34:39
1
ninahassanjuma
ninahassanjuma :
Sio Dar sema familia zetu za Kiswahili 🤣🤣🤣
2026-10-15 13:42:39
2
swaumu.salum7
Swaumu Salum :
mmh bhna ni kutokan na family uliyoenda wengine huswahili mwing me kwangu mgeni ni mgeni tu mbaka anaondoka ajutii
2026-10-15 15:19:50
1
yassdre10
ÿàç :
2026-10-15 06:34:26
1
peach_queen_59
Aiem Hower 💦🇿🇦🇹🇿 :
Alafu Kuna mm mpaka maji ya kuoga utajitegemea
2026-10-15 11:27:33
0
unqfay
Sheisfay ❤️ :
Ikifika mchana kila mtu ananunua fungu lake la dagaa mchele😂😂😂
2026-10-15 13:54:06
1
sisterfaa0
Sister fAa🦋😍 :
Kwan nyie mko dar ya wap mapya aya 😂😂😂
2026-10-15 11:52:17
1
ashlovetz5
Ashly :
😅😅😅Kweli kabisa
2026-10-15 16:49:24
0
mnyantuzu1
MNYANTUZU OUTFIT 👗🥻👗 :
Kila mtu na kachori zake sitaki ule zangu ht uwe mgeni🤣🤣🤣
2026-10-15 15:06:07
0
juliealex67
July alex :
yaani acha tu nisiongee mimi Wakulala njaa usku nasubiri chakula kumbe watu wanajindaa kulala
2026-10-15 16:56:53
0
wardaofficial3
wardah🥰😍 :
mtu akitak kuja kwangu alf huwa hanisemeshi wakt tukiwa mkoa mmoj anajifanya yupo bz
2026-10-15 15:00:20
0
aryastore18
Arya_Store :
Krb mgen mwenyej apone
2026-10-15 11:21:59
0
garmy096
G army 2012 :
Kama hauishi dar huwez kuelewa mm nilikuwaga naonaga watu wa dar wabinafs aiseee maisha ni magumu uku kuanzia nauli mpk kodi yoooo
2026-10-15 12:16:53
0
noeld8686
noeld868@ :
😂😂😂
2026-10-15 06:34:15
1
ma_lyshka01
Malyshka🐾🌸 :
Kwanza uchumi hauruhusu kutembelea watu 😂
2026-10-15 13:22:47
0
dhiyer62
Rhadhyer❤️🦋 :
Ulaku tu😂
2026-10-15 11:26:45
0
sophygili3
Sophy :
Kuna iyo familia kuanzia baba na watoto kila mtu ananunua kitafunwa kwa ela yake na sabuni ya kufulia nguo unajinunulia yaani nilishangaa 🤣🤣🤣🤣
2026-10-15 11:15:26
0
firstchoice_bs
first choice store :
Kwan mmekuja hotelini c mmesema mmekuja kunitembelea[Laughing]
2026-10-15 11:19:42
1
veronicaveroy2
Veronica Veroy :
2026-10-15 18:05:20
0
gapy747
Gapy :
Kma haujaishi dar unaweza hisi watu n wachoyo 🤣🤣
2026-10-15 16:58:38
1
upekeecakes
Upekee Cakes :
Kwani ni afya ama ni Afiya😂😂😂😂
2026-10-15 19:58:17
0
To see more videos from user @trending1808, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About