@abuuzakir1: #teamstrongertogether💙 #kenyaningulf🇰🇪🇶🇦🇧🇭🇸🇦 #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪kenyantiktok #tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿❣️🇰🇪 #viralvideo

abuuzakir
abuuzakir
Open In TikTok:
Region: QA
Thursday 15 October 2026 02:02:10 GMT
1742
89
15
12

Music

Download

Comments

alharamain066
zaahid :
ni kweli Allah atustir na huu mtihani lkn hua inasababishwa na mwanaume mwanamke ukimpa haki yake ipasavyo khususan ya tendo la ndoa bac kutoka nje ni ngumu sana ila unakuta mwanaume anakusanya wanawake na uwezo wa kuwaridhisha hana mmoja wapo atatoka kwenye ndoa Allah assure mtihan kama huu
2026-10-15 10:40:51
1
mohammedkombo8
Mohammed Kombo :
Uchafu umetuvamia kweli kweli,Mungu atunusuru.
2026-10-15 02:21:14
1
mzenji29
mzenji :
Asalam Aleikum nikweli bro Kwanza Masha Allah Allah akuifadhi akulinde usichoke sababu utapendwa na wote Mimi nataka Sana ongea Sana kuhusu ilii swala ata shekhe baheto nimwambia aongolee Sana ilii Jambo mambo yako Kwa wake na waume niwingi Sana mazito yawakuta Waume
2026-10-15 02:35:29
3
mwanamkuuomar
Bykuu :
subhanaAllah mungu atuongoze katika njia sahihi inshallah
2026-10-15 06:16:27
1
susu_heenaartist0
🌺Susu Banana🌺 :
Umesema kweli chakushangaza tena hawazini na mtu mmoja leo huyu kesho Yule Yaani mtaa mzima amemaliza 🥺🥺
2026-10-15 07:36:43
2
urs_nazliter
ن💞 :
kweli unayo Yosemite wanao zini ni hawa wako kwenye ndoa allah atuongoze
2026-10-15 05:34:38
1
foziadiko1
foziafozia :
Allahuwaalam [Pray]
2026-10-15 03:46:03
1
soudaomar
shahaniya🌸 :
ni kwl kaka
2026-10-15 05:10:58
1
4568345_3
AMINA ISMAIL :
suburban Allah mitihani wallahi hatari
2026-10-15 02:52:51
1
mjane.wa.ndoa
mjane wa ndoa :
SubhnAllah ....na wengi zaidi ni watalaka.....mke ameolewa na mume kaowa ela la kushangaza mume bdo achat uchafu na mtalaka aliye na mume....Allah awaongoze
2026-10-15 06:04:58
1
hanuna001
Hanuna666 :
Yaaani ndo idadi kubwaa ya wanawake sasa..Allah atupe kinai yarab 🥺
2026-10-15 09:04:09
1
swabrina9558
swabrina :
🥰🥰🥰
2026-10-15 03:16:36
1
To see more videos from user @abuuzakir1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About