@talkboutitwithconradley: Kinachoumiza kwenye ndoa/mahusiano siyo tu mwenza kukukosea, bali ni kuona anakujeruhi, anajua umeumia, lakini kiburi kinamzuia kusema ‘samahani.’ Mtu anayekupenda kweli si yule asiyekosea, bali ni yule anayethamini amani ya moyo wako kuliko kushinda mabishano. Ila..msamaha unapokosekana, maisha yako yasishindwe kusonga mbele, jifunze kuishi nae. #forgiveness #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬
talkboutitwithconradley
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 03:39:53 GMT
Music
Download
Comments
waitress mstaaafuuu :
u made me cry coz ndio situation napitia
2026-10-15 09:36:33
2
user37839781626985 :
thanks 🙏
2026-10-15 11:22:04
0
. :
Anasema mwanaume akosei 🙌
2026-10-15 04:56:04
10
Magdalena :
asant bosss
2026-10-15 05:14:47
0
catherinesteven56 :
mmmmmh
2026-10-15 04:40:12
0
Debra jojo@ :
nilazima kosa lake akugeuzie wew ndio utajikuta umeomba msamaha wew juu ya kosa lake
2026-10-15 11:09:20
1
mariam shaksi :
asante san nimeelewa vya kutosha
2026-10-15 07:16:47
4
mama G💕💯💯💯💯💯02 :
😳😳😳 asante sana baba hii mada imekuja wakati sahii
2026-10-15 06:30:57
2
user79029931954242 :
asante naendeleza ukimya wangu na nimeongeza ujuzi kwako
2026-10-15 08:20:15
0
Mrs JJ Kyando :
Asante sana baba mzur umenitoa mahali Mungu akubariki sana🙏
2026-10-15 07:59:26
1
user7352072800247 :
Asante sanaaaaa barikiwa
2026-10-15 06:53:20
0
Najma Hassan Basebe :
Wekea basi tuweze kudwnld
2026-10-15 08:27:19
0
Aneth Laizer820 :
natamani nijifunze kutulia mimi dah!
2026-10-15 08:31:59
0
Rukia Kapenda :
asante sana
2026-10-15 06:51:23
0
pendo :
Asante kaks
2026-10-15 07:11:34
0
mama asnath :
we kaka asante umeniriza sana
2026-10-15 07:19:54
0
ritha :
mimi anaomba mala kwa mala ila kumuamini sasa
2026-10-15 09:37:04
0
Happiness 🥰😍 :
2026-10-15 06:45:54
0
jes🥰🥰🥰🥰🥰 :
nikweli kabisa
2026-10-15 05:31:50
0
Kagemuro Barongo :
amina
2026-10-15 05:42:08
0
Ms_Hopwi18 :
kaka Asante Sanaa yaani leo umenijibu majibu yangu niliyokuwa nayasubir[Pray]
2026-10-15 06:30:55
0
adelove583 :
hii imeendaaa
2026-10-15 12:00:56
0
user4949031913617 :
Asante saan kaka🙏
2026-10-15 05:59:39
0
Ntumbagwe :
kaka asnte sna yaan umegusa maisha yangu kabsa,nilijua kutosubir msamaha bora niendelee na maisha yang,Barikiwa saana my kaka🥰🥰
2026-10-15 06:09:45
0
anstaziejackie :
HUYO NI WANGU KABISAAAAA. yaani Mungu ana muona
2026-10-15 08:59:46
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.