hio inakuja wakati huwezi kuingia kwenye pc ndani hapo haujamsaidia mtu ambae atakutana nayo na machine ikagome kuingia ndani kwa ndani ikabaki hapo hapo
ukawa tayr umekutana tayr na hiyo blue screen unafanyaje
2026-10-16 17:55:05
1
Tech_Vibe๐ :
mzee kuna nyingine ata utoe ssd uwashe yenyew inakuwa imestack hapo yani balaa lake sio poa
2026-10-16 21:42:09
2
Lukensa :
Aaah usijaribu hii kitu kama huna uhakika wa Computer yako.. issue ya blue screen ni driver failure, windows updates, hard disk Kwenye kusoma data.... Update window hasa kwenye drivers hakikisha Ram iko vizuri ๐
2026-10-31 12:05:20
1
To see more videos from user @genuine_computertz, please go to the Tikwm
homepage.