Familia yangu mpaka naingia kaburini iwe kwa shida na raha yanga forever โค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-10-15 04:41:38
2
Lenny๐๐ :
Hata tufungwe mara elfu moja yanga siami ingawa kipigo Cha juzi kimenisababishia homa mpaka sahv nipo kwenye dozi ila siqchi kushabikia yanga daima mbele nyuma mwiko๐๐๐
Hakika haipingwi hiyo yanga forever ๐๐๐๐๐๐๐
2026-10-16 06:41:46
0
Deus :
Pamoja wananchi๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฏ๐ฅ๐ซ