@appleuser569437: #creatorsearchinsights#tiktok

LaShawn
LaShawn
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 15 October 2026 04:39:33 GMT
1348
28
4
32

Music

Download

Comments

appleuser569437
LaShawn :
Yi
2026-10-15 04:39:54
0
alfredomontgomery3
alfredomontgomery3 :
❤️❤️❤️
2026-10-15 14:13:31
0
skyy3755
rodneysherrod :
🔥🔥🔥
2026-10-15 15:08:14
0
To see more videos from user @appleuser569437, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Raz Kenya ft Alikiba Kwa wale ambao wamekuwa na Maswali kuhusu utata unaozunguka Collabo ya Kwanza ya Msanii wa Mombasa na Alikiba ndo huu hapa!  Picha linaanza 2007 Babu Dee Mapete anatoa Collabo ya Kwanza Kabisa na Msanii Alikiba ngoma inaitwa kilio cha moyo enzi hizo Alikiba akitamba na wimbo kama Cinderella, Nakshi Mrembo yaani hapo hashikiki kweli kweli. Miaka kama Miwili/Mitatu baadae 2008/2009 Panel nae anapata nafasi ya Kufanya Collabo na  Alikiba wanatoa ngoma inayokwenda kwa jina Barua a classic hit song! Watu wameishi nayo mda wa miaka Mitatu baadae, 2012 Raz Kenya anaondoka na Kijiji na ngoma Mjanja wa Jiji akimshirikisha Alikiba akifikisha Orodha ya Wasanii wa Mombasa wa Mwanzo mwanzo kufanya kazi na Alikiba kuwa 3. Lakini msanii wa Kwanza Kabisa Kufanya Collabo na Alikiba ni Babu Dee Mapete ila tuseme kwa mda huo ngoma ilikuwa ya Kawaida sana na kuna mashabiki wengi haswa Ma Gen Z hawakuwa wanafahamu kama Babu Dee Mapete ndo Msanii wa Kwanza Kufanya Collabo na Alikiba. Watu labda wanajiuliza enzi hizo Alikiba alikuwa wa moto hashikiki walifanikiwaje kupata hizi Collabo? Iko hivi licha ya kuwa Alikiba alikuwa akifanya Show nyingi Mombasa lakini pia kutoka kitambo Alikiba anamazoea ya kuja Mombasa Mara kwa mara kuona familia na sio Alikiba tu Asilimia 70 ya Wasanii A List ya wanamuziki wa Bongo wanafamilia wanazo husiana nazo Mombasa. Kwa wasanii waliobahatika kukutana na Alikiba na uko na Malengo bila shaka usingelaza Damu, unachangamkia Fursa na unasepa na Kijiji kama Alivyofanya Babu Dee Mapete, Panel na Raz Kenya. Kwa hiyo waliokuwa hawajui ni yupi msanii wa Kwanza Kenya Kufanya Collabo na Alikiba ndo huyu hapa
Raz Kenya ft Alikiba Kwa wale ambao wamekuwa na Maswali kuhusu utata unaozunguka Collabo ya Kwanza ya Msanii wa Mombasa na Alikiba ndo huu hapa! Picha linaanza 2007 Babu Dee Mapete anatoa Collabo ya Kwanza Kabisa na Msanii Alikiba ngoma inaitwa kilio cha moyo enzi hizo Alikiba akitamba na wimbo kama Cinderella, Nakshi Mrembo yaani hapo hashikiki kweli kweli. Miaka kama Miwili/Mitatu baadae 2008/2009 Panel nae anapata nafasi ya Kufanya Collabo na Alikiba wanatoa ngoma inayokwenda kwa jina Barua a classic hit song! Watu wameishi nayo mda wa miaka Mitatu baadae, 2012 Raz Kenya anaondoka na Kijiji na ngoma Mjanja wa Jiji akimshirikisha Alikiba akifikisha Orodha ya Wasanii wa Mombasa wa Mwanzo mwanzo kufanya kazi na Alikiba kuwa 3. Lakini msanii wa Kwanza Kabisa Kufanya Collabo na Alikiba ni Babu Dee Mapete ila tuseme kwa mda huo ngoma ilikuwa ya Kawaida sana na kuna mashabiki wengi haswa Ma Gen Z hawakuwa wanafahamu kama Babu Dee Mapete ndo Msanii wa Kwanza Kufanya Collabo na Alikiba. Watu labda wanajiuliza enzi hizo Alikiba alikuwa wa moto hashikiki walifanikiwaje kupata hizi Collabo? Iko hivi licha ya kuwa Alikiba alikuwa akifanya Show nyingi Mombasa lakini pia kutoka kitambo Alikiba anamazoea ya kuja Mombasa Mara kwa mara kuona familia na sio Alikiba tu Asilimia 70 ya Wasanii A List ya wanamuziki wa Bongo wanafamilia wanazo husiana nazo Mombasa. Kwa wasanii waliobahatika kukutana na Alikiba na uko na Malengo bila shaka usingelaza Damu, unachangamkia Fursa na unasepa na Kijiji kama Alivyofanya Babu Dee Mapete, Panel na Raz Kenya. Kwa hiyo waliokuwa hawajui ni yupi msanii wa Kwanza Kenya Kufanya Collabo na Alikiba ndo huyu hapa "Babu Dee Mapete" akafuata Panel, Raz Kenya, akina Brown Mauzo na Sauti Sol. Kwa Sasa Babu Dee Mapete yuko na Ngoma Mpya inayoitwa hatuelewani. #TBT #bongo #kenyaoldschool

About