@ibra_carter: MWANAMKE AU MWANAUME, KAMA UNA MIAKA 25–50, USIKOSE KUFANYA HILI ZOEZI! 👇🏽👇🏽💯 👉 FAIDA ZA HAYA MAZOEZI 📌 KWA MAMA MJAMZITO: KAMA UNA UJAUZITO NA HUNA CHANGAMOTO YOYOTE — FANYA HAYA MAZOEZI KILA SIKU. Husaidia kuandaa nyonga, kupunguza maumivu ya mgongo na kuongeza nafasi ya kujifungua kawaida. ✅️ Itakusaidia kupata usingizi bora. ✅️ Huongeza flexibility ya mwili. ✅️ Hupunguza maumivu ya misuli na uchovu wa viungo (mgongo, kiuno, magoti na mabega). ✅️ Huboresha mzunguko wa damu mwilini. ✅️ Huboresha posture ya mwili. ✅️ Hupunguza stress na kukufanya ujisikie vizuri. ✅️ Hupunguza hatari ya majeraha wakati wa mazoezi. #IbraCarter #DailyStretching #stretchingexercises #afyakwanza
📌 KWA MAMA MJAMZITO: KAMA UNA UJAUZITO NA HUNA CHANGAMOTO YOYOTE — FANYA HAYA MAZOEZI KILA SIKU. Husaidia kuandaa nyonga, kupunguza maumivu ya mgongo na kuongeza nafasi ya kujifungua kawaida.
2026-10-15 04:54:17
0
To see more videos from user @ibra_carter, please go to the Tikwm
homepage.