@echoesofthelegents: He was not Congolese. He was from Tanganyika, raised in Mombasa.But when he sang "SALOME" in 1975, the whole of Zaire (DRC) thought he was one of them.Mbaraka was the bridge between Swahili and Lingala. The original Rhumba King of East Africa before Super Mazembe.He died on 13 January 1979 in Mombasa at only 35 years, leaving behind over 50 songs recorded with Morogoro Jazz & Super Volcano.Most underrated Lingala artist EVER. If you know Salome,

ECHOES OF DE' LEGENDS
ECHOES OF DE' LEGENDS
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 15 October 2026 05:08:42 GMT
29118
1559
88
268

Music

Download

Comments

jazziwakanda
King wakanda 👑 :
what happened to him??he died very young
2026-10-15 18:50:00
5
xyxoy9
Mutangwa kivindyo…. :
Then it was fire 🔥
2026-10-15 16:55:57
1
idris.fadhil.65
Idris Fadhil 🎭🌴🏡 :
Mwandishi, umechanganya sana habari ya gwiji Mbaraka Mwinshehe Mwaruka. Mwimbaji huyu alikuwa Mtanzania kutoka Morogoro lakini nyimbo zake alizirekodi Kenya katika label ya Polydor (sasa Tamasha Records). Ni kweli alifia Mombasa.Nilibahatika kumuona wiki hiyo mtaa wa Majengo Sega, Mombasa 1979 na kumwamkua. Bendi yake ilikuja kuongozwa na ndugu yake Charles Ray Kasembe na bendi yake Les Volcano (Super Volcano). Mbaraka Mwinshehe aliwaenzi sana waimbaji wa Zaïre(DRC CONGO) lakini hakuwa Mkongo kama akina Mzee Makassy na Remi Ongala wa Super Matimila (Remi alikuwa mpwa wa Mzee Makassy). Andika posti zako kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza(ushauri wangu tu)
2026-10-16 11:54:34
5
gideon.gwaro
Gidy eng :
These are my things
2026-10-15 16:54:44
2
sharon_njeri31
Njeri🫐🪐🌌🦋 :
Mambo yangu haya🔥🔥🔥🔥
2026-10-15 18:31:58
3
challi47s
Challi CJr :
he is not Kenyan musician
2026-10-21 09:52:35
1
user1466088251458
Bishop Dr. Stephen G. Mwangi. :
His Songs were revenetional & educative in JESUS NAME. Prov. 18:16.
2026-10-17 10:13:54
3
omariramso
omar khan :
jamaa kafa kabla sijazaliwa ila nyimbo zake nimezikuta na nazipenda mpk leo
2026-10-16 09:08:54
5
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
😭😭😭😭😭😭 TRUE STORY TO ME
2026-10-15 18:29:55
1
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
ngoma mpaka leo ni nzuri 1944 mpaka 2026
2026-10-16 08:19:20
2
ombenimorogoro
OMBENI MOBILE SHOP MOROGORO :
Baraka mwishee alikua Mtanzania mtu wa Morogoro
2026-10-16 06:30:37
1
ataruss1
Ataruss :
old is gold
2026-10-15 16:42:44
2
zainabu.mnondwa
Zainabu Mnondwa :
yakale dhahabu
2026-10-17 11:11:07
1
tatuabdallahsaid
tatuabdallah :
Mungu ampungizie adhabu ya kabuli
2026-10-17 08:05:33
1
user7469530221047
Nemuel makoyö :
Ahsante sana,maana Kila siku,mnanitia uhai upya,baada ya changamoto za maisha,napata ufahamu na nguvu ya kuendelea kuishi.
2026-10-21 13:59:31
1
user69226374585908
MyEastAfricanFamily :
tanzanian
2026-10-18 07:32:41
1
user1466088251458
Bishop Dr. Stephen G. Mwangi. :
His Songs were reveletional & educative in JESUS NAME. Prov. 18:16.
2026-10-18 07:35:42
1
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
ALLAH AJAHALIE KABULI LA MAREHEMU MBARAKA MWISHEE LIWE KATIKA MABUSTAN YA PEPONI 😭😭😭
2026-10-15 22:21:59
1
alicejyne
alicejyne :
Nashangaa tumeachana
2026-10-15 18:35:46
1
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
NDUGU NITAUPATAJE HUU WIMBO NIJE NIMPOSTIE?
2026-10-15 22:24:45
1
musaulex
@Musaulex :
You are right but just note there is no Music genre called Lingala, rather, its called Rumba. Lingala is a language in Congo and the fact that most Congolese music is in Lingala music doesn't make it a genre.
2026-10-19 11:47:36
1
jasolabuzna
Jack1998 :
lies he died btn 1973-1975 thereabouts.
2026-10-19 15:10:30
1
zeddylove0
zahra :
LOVE IT
2026-10-15 17:53:27
1
user9036901909350
Olive :
hapana mbaraka mwishee alikuwa anaishi morogoro ila yeye ni kabila lake ni MZARAMU. na alizikwa uzaramon kijijini kwao mzenga njia ya kisarawe one
2026-11-05 17:27:19
0
chikwende.master1
Chikwende. J,R :
2026-10-19 21:21:56
0
To see more videos from user @echoesofthelegents, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About