@inshaallahtvonlinetz: Dawa ya Mwanamke Mwenye Dharau - Madam Leila Abubakar #InshaallahTVOnline #FahariYaWaislamu #Mawaidha #Nasaha #inshaallahtvonline #inshaallahtvonlinetz #wahdatvtanzania #rayaonlinetv #raashy_rashidi #raashy_lyrics #Sheikh

Inshaallah TV Online
Inshaallah TV Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 05:32:44 GMT
85720
4370
38
291

Music

Download

Comments

user9835993072478
jj💪💪💪 :
hakuna cha home work asepe
2026-10-15 16:06:15
0
user4445658157092
my name :
nimemwambia kasema ee baba wee usintishe kwetu sijaua🤔
2026-10-15 08:41:22
13
kingblood650
King Blood65 :
kumpenda mtu na kumuheshim mtu huwa hafundishwi mwanamke kama hakupendi sema utakavosema anageuka kiziwi
2026-10-15 10:23:31
6
cpt_komba_jr
Cpt Komba Jr :
Kwishaaaa
2026-10-15 08:03:56
1
djconner
phone repair and accesories :
kwan atakusikiliza sasa
2026-10-15 18:05:46
0
elibariki937
elibariki :
akili Ni nyingi
2026-10-15 17:42:34
0
rockthan1
ROCKTHAN Baba la Bala :
Point kubwa sana
2026-10-15 16:27:58
0
new_urembo
NEW_UREMBO🤴 :
Duuuh
2026-10-15 10:53:22
0
barakakalinga14
Baraka Elia :
duhh
2026-10-15 14:46:27
0
babdullah4
babdullah🫀💘 :
kabisa dada
2026-10-15 14:55:13
0
yuscokabwe3
yusco kabwe :
hawaelew hata usemeje
2026-10-15 11:12:26
0
mohamed.huntsman
Mohamed Huntsman :
salute
2026-10-15 10:27:56
0
user5816563985114
Mr black :
kwixhaa
2026-10-15 13:05:29
0
ibrahimkiponda
[email protected] :
Asantee
2026-10-15 11:05:36
0
kingbryno
#badboy👑 :
duuuu
2026-10-15 11:07:57
0
mamuzegw2
mamu zege :
weww dada mungu akuweke
2026-10-15 09:39:17
0
rashidzando
user8113203542076 :
MA SHA ALLAH
2026-10-15 09:52:34
0
abeshi094
mr abeshi :
mashaallah
2026-10-15 07:37:31
0
user5563354007757
Dulle Shaban Dulle :
dada Asante sana Kwa elimu ya maisha
2026-10-15 08:23:15
0
mtotowabintmbaruku4
ibn Meja515 :
mola akuweke dada yangu maana daaaah tunayopitia allah alam
2026-10-15 07:44:17
0
iddy.ulamaa
iddy ulamaa :
swadakta
2026-10-15 08:23:53
0
user3871332863018
mwajabu Said :
ilahuyudadabhn
2026-10-15 07:39:04
0
_nando66
jamaldin :
uyu wakwangu nilivyomueleza hivyo tu kasema nimpe naul aende kwao
2026-10-15 12:21:12
2
mramu080
mram :
jb lake apo kwan upo peke yako na wanaume wapo tele
2026-10-15 08:22:40
1
filbertlaurent
filbert laurent :
nilikaa na mtu miaka 7 kiburi kilizid nilimwambia siku ambayo nitakuacha hutaamin fanya vituko vyoote tena hatuachana kwa ugomvi. akajichanganya akaenda kwao kwenye shughuli tumeagana vizr tu nikamsindikza ad stand niliporud nikafungasha kila kitu chake nikarud stand kutuma mzigo yake nikamtafta boda wa kupokea mzigo kule amefika kwao amekaa anaona boda inakuja na mabegi nikampigia simu nikamwambia kaa kwenu wakufundishe adabu na jins ya kuishi na mume kuna kitu nimesahau au unakitaka niambie nikutumie
2026-10-15 08:41:47
2
To see more videos from user @inshaallahtvonlinetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About