@the_africanvogue1: MCHIMBA KISIMA HACHOKI MPAKA MAJI YATOKE🥰 Si mwajua maji ni uhai wakwe zangu? Si ndiyo majirani? Hehee #khanga #leso #maji #africanculture

the_africanvogue1
the_africanvogue1
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 05:42:55 GMT
103833
3466
186
2523

Music

Download

Comments

sadiamwnyumbu
[email protected] :
Haswaaa
2026-10-17 13:05:14
0
nyisurya09
nyisuryageorge :
elewa neno maji[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-16 14:24:11
0
ole.saitoti7
ole saitoti :
kama kuna ukame[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 11:49:50
0
we_ar_united
ahmad_bin_aliy :
visima vengine vigumu kupatikana maji🤣
2026-10-15 08:19:11
50
user31083991624074
MBOGO BOY HAND BAG'S KHM :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kunamda unachoka 🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 11:52:01
0
stvnstvnoop
Steven steven :
yani hii hakili ningekuwa nayo dalasan ningefika mbali
2026-10-15 10:27:58
21
.its.yuu
🤩 it's yuu :
imeeleweka somoo
2026-10-15 11:31:06
3
abduly.kidary
Abduly kidary :
watu hadi wapo na certificate ya uchimbaji bora wa visiwa[Tears of joy]
2026-10-15 06:07:45
8
falinn_y
falin :
mwapatikana wapi? nataka hii kanga 😂🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
2026-10-15 09:41:28
1
schieffabila
BossSultan :
kuna sehemu zima miamba ya vyuma haitoi maji....Kwa sisi wachimbaji wa visima huangalia mchanga tukajua hapa maji yapo au hakuna
2026-10-15 11:22:52
5
shamis7754
shamis :
mimi mgumu kuelewa lakini leo nimeelwa mapema mno
2026-10-15 10:40:43
1
giftmaita
Gift Maita :
dhaa kweli nomma
2026-10-15 11:51:23
1
isodonaman
IsoDonAman🇰🇪🇹🇿🦅 :
2026-10-15 16:15:57
1
poisonsumu3
batolomayo zebedayo :
2026-10-15 15:23:51
1
shabaninguluko
sheby love :
mmmh
2026-10-15 14:34:27
1
milanzi398
martine milanzi :
kumbe nitafute kisima sasa nikichimbe
2026-10-15 12:30:57
1
sarahbenedicto636
mama ayman :
hii nayo inaukweli sanaa limtu linachimba kisima linaishia njian jamaniii mnatuumiza🤣🤣
2026-10-15 08:48:15
1
user742873547024
Nanc.Mwangi :
𝑤𝑢𝑒ℎ!🤣🤣🤣
2026-10-15 12:46:48
1
khatibnail
khatib :
me swala la kuchimba visima mpka maji yatoke nimewachiaa nyinyi😂😂😂😂
2026-10-15 16:04:24
2
ma2khadijah
ma2khadijah :
Kheee
2026-10-15 18:34:53
1
morginnie2334
Shymer :
unajuwa nakuona sanah kwenye fyp yangu mbn mafunzo yako yananiwinda sanah ni ishara ya nn hii 🤭🤭🤭
2026-10-15 12:02:47
1
venance_x
Venance :
Kuna visima vingine hata utumie nn kuchimba havitoi maji.. Vinachosha kweli
2026-10-15 13:06:56
1
salihudin.elmi.wa
Salihudin elmi warsame :
kisima nachimba Kuna ukame jameni [Big LOL]
2026-10-15 13:27:16
2
user4147502946356
Mama lizzy 🌹🌹 :
hv hiz khanga niza AI au😁😆😆😆
2026-10-15 19:10:21
3
event__empress
event__empress :
Apoooo
2026-10-15 14:28:33
1
To see more videos from user @the_africanvogue1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About