huyo ni my brother from another mother [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 09:45:34
5
Saphinia Kilind :
uyo ninmm[Red heart][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 13:38:22
0
Masele95 :
Ghost kind of life is one of the best things I've practiced
2026-10-15 13:22:33
0
Edina Minja :
Sema Kila familia achana na kila ukooo😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-15 08:42:17
48
djshaxy255 :
si mimi sasa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 13:41:55
0
Ommy Clever :
Uyo alikuwaga kaka yangu alikuwaga na namba nyingi akiwepo mbezi anatumia lain nyingine akiwa kibaha anaweka lain nyingine ile aliyoitumia akiwa mbezi ukiipigia haipatikani akitoka kibaha akienda sehem nyingine anaweka laini nyingine, ila mi mdogo wake ndo nilikuwa rafiki yake mkubwa ananipaga namba zake zote 5 na inafika muda namba zote tano hazipatikani alafu ananipigia ananambia kama akikupigia mtu akikuuliza kuhusu mimi mwambie niko salama mi niko sehemu fulani ila hao usiwambie nilipo, daaah sio powa
2026-10-15 10:06:37
19
Cathy :
umetisha saaaaaaaana
2026-10-15 10:01:37
1
LEONIA💗💗 :
uyo baba angu mdogo kabisa yani adisasa atuelewi yupo ama ayupo [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-15 07:13:50
0
Maimuna Nayana :
sasa mbona unamuongelea kaka angu yeye nahic katembea nchi nzima 🤧🤣
2026-10-15 08:11:54
17
mzee issike🗡️🛖🪘🪵🦅 :
huyo nimimi kabisa daah kuna ndugu yangu alikuja kahama akijua naishi huko kumbe nipo mwanza 🤣🤣🤣
2026-10-15 06:45:01
8
williammeshack261 :
we jamaa unaniongelea mimi au mbona skuelewi😂🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-15 09:06:30
6
Pili Ally :
huyo kwetu yupo mtoto wa dada angu mkubwa, mwisho juzi katutafuta anakesi kakamatwa na yy si muhusika wa iyo kesi ila wameona hana watu tukajitaidi kumsaidia akatoka hee mara hapatikani, kaja kututafuta kesi imepelekwa mahakaman mara kaukumiwa haya yupo uko gerezan ata ujui umsaidieje.
2026-10-15 11:15:50
5
Mamen Mullah👊🏽✨️ :
ulijuaje asee nnae chaliangu ako ivo kabc😃😄😅🤣
2026-10-15 08:45:22
6
mimi😏 :
mjomba mussa mungu akulinde popote ulipo[Panic]
2026-10-15 11:15:06
5
Olivia :
mbn hunaamsemma kaka angu
2026-10-15 12:51:45
1
Black leopard :
ni Mimi huyo kabisa
2026-10-15 09:35:41
3
john :
mtu mwenyewe do Mimi hapa 😂😂
2026-10-15 07:37:02
5
oas gal :
mimi kabisa🤣🤣
2026-10-15 09:04:58
3
@Ediga Godifrey mha og! :
Mimi huyo au unanichokoza sio
2026-10-15 10:17:50
3
rose🌹 :
huyo n mm kabisa had Leo hakuna anae elewa nipo wap
2026-10-15 12:34:24
2
Rabia_001 :
Wa kwetu alifariki watoto ss uuuwiii
2026-10-15 10:22:23
4
Erasto paschaly :
kaka yang kabisa huyo
2026-10-15 08:50:07
4
JAMES SUBARU :
hahahah hahahaha
2026-10-15 08:21:01
1
Robbyaugust80 :
huyo brother wangu tony
2026-10-15 07:11:22
3
To see more videos from user @mrkatiti, please go to the Tikwm
homepage.