oya bro umetisha vikao vyetu we utakuwa mwenyekiti
2026-10-15 08:56:54
25
Hezron Aidan :
kikao kijacho msisahau kuja na zawadi kwa ajili ya kumtunza mwenyekiti wetu
2026-10-15 14:55:58
7
agnes_26tng :
Asante,
2026-10-15 13:23:09
0
Tony_prim56 :
nani kama mam aoo ni wa kuja
2026-10-15 08:55:29
15
Noel :
Good decision with incredible wisdom
that's how strong Man is.
2026-10-15 08:52:50
1
trueboy037 :
Tunakupandish cheo kaka kweny vikao
2026-10-15 15:42:26
4
josfeandavy :
Yani ww ni zaidi ya mwanaume nimekupenda bureee
2026-10-15 08:33:50
12
philimonmasangu95 :
you big 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥👍
2026-10-15 08:25:30
0
Prince G :
Hawa ndo wanaume wanaojielewa hongera bro
2026-10-15 15:24:21
5
simbo jr :
tuko pamoja
2026-10-15 10:11:58
2
Baba fey 🙏🙏🙏🙏 :
hayo ndio maamuzi ya kiime💯💯💯👏👏
2026-10-15 12:50:46
2
Rachel Rachel :
hakuna mtu wa mhimu kama mama maishan mwote kak hongera sana
2026-10-15 08:41:13
2
paul mgimwa :
kiukwel me naungana na huyu mm nikioa sasa ije itokee mke aniletee za kuleta yan amletee shida mama, basiii ndo itakuw tket ya kwenda kwao cheza na kila kitu ila mama usimguse hata kwa bahat mbaya
2026-10-15 15:22:31
1
Ally kassim :
kwenye kikao ulikuwepoo maashallah
2026-10-15 15:09:20
1
ommy🎶 :
apo mwishoni😂😂😂
2026-10-15 15:13:10
0
aisha. giroma :
jambo jema kaka angu
2026-10-15 08:56:59
1
user6528383578857 :
nimekubali maneno yako bure kaka
2026-10-15 08:51:06
0
mamy :
Safi kabisa kaka.Mimi ni mwanamke lakini uamuzi wako ni sahihi kabisa
2026-10-15 14:52:47
1
Young father :
Pa1 sana nduguangu 👍👍👍👍👍👍
2026-10-15 14:35:13
1
mbarouqsheen :
safii kaka
2026-10-15 18:03:34
0
kalingapartson :
ukinibipu nakupigia😂😂😂
2026-10-15 18:10:08
0
ademtus poncian :
nanikamama
2026-10-15 18:16:22
0
To see more videos from user @peter.makiya2, please go to the Tikwm
homepage.