@mamasubmeter_tz: 🏠 UNAMILIKI NYUMBA ZA KUPANGISHA? 🏢 Una apartment, commercial building au vyumba vya kupanga? ⚡ Unataka kusimamia matumizi ya umeme kwa kila mpangaji na kupunguza drama za umeme? MAMASUBMETER TANZANIA ⚡❤️ Suluhisho la kisasa la kusimamia matumizi ya umeme kwenye property yako! ✅ Single Phase & Three Phase Submeters ✅ Anti-Tamper System ✅ Relay System ✅ Inaonyesha matumizi ya umeme bila makadirio ✅ Fire Resistant ✅ Tunauza jumla na rejareja ✅ Installation inapatikana ✅ Warranty ya mwaka 1 🔥 BE SMART WITH YOUR ELECTRICITY! Usisubiri drama za umeme zianze. Chukua hatua leo! ⚡ 📍 LOCATION: Kariakoo, Dar es Salaam 📌 Lindi & Congo Street 📞 WASILIANA NASI LEO: 📲 Call / WhatsApp: 0713 130 595 🚚 Tunafanya deliveries ndani na nje ya Dar es Salaam! 🇹🇿 💬 COMMENT “SUBMETER” au tutumie DM kwa maelezo zaidi! ❤️ MAMASUBMETER Power your property the smart way. #MamaSubmeter #ElectricitySubmeter #SubmeterTanzania #LandlordsTanzania #DarEsSalaam
Mm hapa mind PhD ya low . Leo mwaka wa tano ma week sita .. Kazi sijapata nimeamua kufanya kazi duka la vipodozi nalipwa laki na nusu.. na huu ni mwezi wa pili sinapokea mshaara..
2026-10-15 15:38:50
32
Sub_Zero :
Namimi nilisemaga sifanyi kazi chini ya milioni 1.5 saizi nalipwa laki 1 na ishirini na nimetulia 😂😂
2026-10-16 01:34:42
17
Liyah :
hebu nisaidie kuwaambia maan nashindwa kuelewa 🤣🤣🤣
2026-10-15 11:15:02
16
Colly🧢 :
hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-15 14:39:31
6
Silvery _tz🇹🇿🎯 :
Dada mbn unawacheka wenzioo jmn😎😁🔥 daah tuwaambie au tuache
2026-10-16 14:03:44
2
Victoria Lema :
Tuwasubiri..hata mtaji wa matunda unaweza ukakosa
2026-10-15 14:01:41
6
@SIMEONE :
tuwakumbushee tuu hata sisi tulikuwa kama waooooo ila sasa😂😂
2026-10-15 13:43:22
7
⭐maham'sly♉ :
usichekee wataelewaa😂😂😂wacha wajionee wenyeweee😁😁
2026-10-15 10:02:24
8
Manoni Jisena :
wakat mim namasters yangu nalipwa elfu hamsin kwa mwezi😂😂
2026-10-16 10:30:44
1
math kiwelu interiors :
nionge kwa kusimama ama kwa kukaa..[Laugh approved]
2026-10-16 19:10:59
1
phabian s. Francis :
usiwasanue maisha ya mtaani waache
2026-10-15 10:01:57
6
MA :
Watuulize sisi
2026-10-16 15:20:44
1
Platvin46 :
Sasa Mtu Asichague Mshahara Kila mtu na Uamuzi Wake bhn 😂😂😂
2026-10-16 13:19:56
1
sniper26 :
tupo hap tunawaangalia tu
2026-10-16 06:27:50
0
hamissa :
labda laki tatu
2026-10-15 18:14:55
0
Miss_Pendo😇❤️ :
Usinge waambia 😂😂😂
2026-10-15 16:08:02
0
Ms_keyla :
Waaambieee mamaaa😂😂😂
2026-10-15 17:17:30
0
Kashato daughter :
Kuna mtu kasema ana PhD ila analipwa laki na nusu harafu Kuna Mimi form four nikaenda zangu VETA now nalipwa Laki 7 Alhamdullilah 👏
2026-10-17 03:57:04
2
Nerasha..53 :
2026-10-15 17:46:40
0
Zombe Sonso :
HR bachelor. apa wa 2020. kutoka chuo Cha ustawi wa jamii. nilianza kuuza chips , na Sasa nimeamia boda boda . sijakata tamaa na maisha yanaendelea ✌️✌️✌️✌️
2026-10-16 08:38:51
2
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋♀️ :
Hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-16 08:10:41
0
crissbrancojr :
😁😁 Ngoja tuwaonee sasa baada ya miezi sita
2026-10-15 16:17:13
0
Mtiki | Interiors :
Nimemaliza degree GPS nzur nikasoma na Masters GPS first clads apo UDSM na saivi nauza mbao🤣🤣🤣🤣 ata vyeti vilipo sijui🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-16 19:53:47
1
To see more videos from user @mamasubmeter_tz, please go to the Tikwm
homepage.