@hubofwisdom.inc: Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hupata fursa kubwa zinazobadilisha maisha yao, huku wengine wakiziona fursa hizo zikipita bila kuzitambua? 🤔 Siri inaweza kuwa kwenye tabia wanazojenga, maamuzi wanayofanya na namna wanavyojiandaa kwa fursa zinazokuja mbele yao. Mhe. Dr. Joel Nanauka anafunua funguo za kupata fursa kubwa na kueleza tabia na maamuzi ambayo mtu anapaswa kuyazingatia ili kuongeza uwezekano wa kufikia mafanikio makubwa katika maisha, biashara na maendeleo binafsi. 👇 SWALI KWAKO: Unaamini nini kati ya yaliyotajwa kina nafasi kubwa zaidi katika kupata fursa kubwa? Angalia H.W kwa njia ya YouTube kisha tuandikie maoni yako kwenye comment section @hubofwisdom.inc au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media H.W MEDIA, Welcome to the Home of Positive Vibes! #JoelNanauka #FursaKubwa #Mafanikio #MaendeleoBinafsi #Thewisetz

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 07:54:11 GMT
20566
1341
7
96

Music

Download

Comments

user875532248572
baziry :
sawa kak
2026-10-15 13:17:56
2
zumacharlesyohana
Yohana :
Asante kwa ujumbe huu
2026-10-15 09:53:12
1
user5515505565914
naah😘 :
mwalimuu mzuri sana na ujumbe uko vizurii pia
2026-10-17 18:35:38
0
mkumbochristian
CHRISS THE GREATEST :
🔥🔥🔥
2026-10-15 08:29:56
1
said.s.saidi
SAID S SAIDI :
🥰🥰🥰
2026-10-18 03:48:50
0
its_mkuu51
mkuu :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-17 07:03:44
0
bhstudios1
bhstudios1 :
🔥🔥🔥
2026-10-18 14:20:55
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About