@hansrafael14: Yanga madeni yamezidi 🙌🙌

Ansibert Rafael Mwombeki
Ansibert Rafael Mwombeki
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 08:08:39 GMT
62277
4130
115
75

Music

Download

Comments

ramadan.amour
Ramadan Amour :
yanga inaongozwa na mwanasiasa tapeli😂😂😂
2026-10-15 08:51:33
29
michael.focuss
michael focuss :
anagopa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 12:19:55
0
luangilahemedi
luangilahemedi :
hahaha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 10:04:24
2
fashi203
A-FASHION :
huyo dem ana sema nyuma kidogo aseme lini simba kadaiwa
2026-10-15 10:35:00
13
effendy455
jay mergorsy :
naitwa magembe
2026-10-15 10:10:49
4
the.wannadallass
The Wanna~Dallass :
chairman is Flattering the Mass🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-15 09:14:44
2
hajiramadhanjr
Hajji Ramadhani :
Hela ya Simba ipo benki sio rahisi kuwadai Hela ya yanga ipo ndani ya mifuko ya kanzu za viongozi Kwa io kudaiwa ni rahisi sana
2026-10-15 10:03:08
14
namramba0
Namramba :
kwahiyo Yanga mpaka uwaombe radhi eti eeeh
2026-10-15 12:27:20
3
user8161768632416
kenforden :
duuh simba kweli tumejipata mpaka hansi kwenye makosa anaiongelea yanga tu😂😂
2026-10-15 10:57:47
8
user7754980876862
abuu mshery jr :
kweli kabisaa kaka
2026-10-15 08:12:59
8
ndotiajr
Ndotiajr :
Wachezaji wa Simba huwa wanagomea kucheza washafanya kina Morrison, Chama na Mpanzu msimu jana
2026-10-15 18:06:17
0
ramadhanluseke187
#Bin luseke :
Mashabiki sisi tuna matatizo haya yote Chama aliyasema kwamba pale nyuma mwiko sio sehem sahihi, Hata Fei aliwai kusema Eng. ni tatizo lkn Madudu yake hayaonekani kwa sababu Yanga inapata matokeo ndo mana makosa yamejificha huko. huko Mwenda nae bado🤣🤣
2026-10-15 11:03:39
3
alfredsamambile
alfred tz :
hapo umeongea point
2026-10-15 08:40:11
5
001kingtanga4
king tanga :
pesa ipo benk
2026-10-15 13:48:24
2
that_gal_aggy
That gal aggy :
umeongea kweli hans hujakosea
2026-10-15 09:34:19
4
sultan.al.khali
Sultan- Al khali :
😂😂😂 unaomba msamaha
2026-10-15 14:18:09
1
user3746739448630
saymon :
umeongea point sana kijana mwenzangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-15 13:52:56
1
daddyrachelle07_
The King's Daddy$ :
Wakati Mo Dewji anasema pesa ipo benki mlicheka mkamsifia sana huyo kiongozi wenu tena baada ya kumchukia seleman maneno yakawa mengi haya sasa sure boy huyo anadai vip pesa zake ziko wapi
2026-10-15 10:58:57
3
mayasasimai
mayasasimai :
Mwalim na yy anadaii hukooo
2026-10-15 14:01:35
1
jumapbzsport
JUMAKHAN@1717 :
unaomba radhi leo
2026-10-15 08:38:07
2
hb.rassly1
Hb :
Viongoz wa yanga wanawachukulia poa sana wazawa most of the tyme wazawa ndo wanadai kama tatzo lingekua pesa bac ata wachezaji wakubwa wale wangekuwa wanadai lakin kwann kina max aziz ki pacome diara hawadai kwann wanaodai ndo kina sure boy kina aziz andambwile kina mwenda na wengine it means wanawachukulia poa hawa wachezaji wa humu ndani kwasababu wanaamini hawawez kuwafanya chochote ata wakishtakiwa wanaamin wao watashinda na ndomn wanaweza wacwalipe na wakawa na aman tu viongoz zaid na zaid wanaweza muekea kec kwamba ni mamluki nk viongoz qa yanga waache ujanja ujanja
2026-10-15 11:06:12
1
zena.sadick
patyma💞 🇹🇿🇴🇲💞 :
Uyo dad anatutak nin sis simb
2026-10-15 18:29:17
0
medy.brown6
medy brown :
magori alisema wanamchukua mwalimu lakini kila siku wana madeni
2026-10-15 20:31:33
0
user13484085099561
user13484085099561 :
sema kimeumana
2026-10-15 19:46:42
0
saidlibonge
Said Libonge🇹🇿 :
Fact
2026-10-15 19:09:18
0
To see more videos from user @hansrafael14, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About