@beya.na.watoto: Baada ya miezi 10 bila kuweza kukaa wala kutambaa, leo Mungu ni mwema, mtoto ameanza kutembea! 🙏❤️ Mungu anaendelea kutenda.#tanzaniantiktok🇹🇿 #congo

dr beya na watoto
dr beya na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 08:19:29 GMT
10497
424
22
7

Music

Download

Comments

gracechoma26
Grace Choma :
mungu mjalie na mwanangu tokea amezaliwa ana mwezi ainui miguu walichonifanyia hospital ya st joseph mungu anawaona
2026-10-15 10:18:47
2
finahsugar8
Finah Sugar :
Mungu nione na mimi ☺
2026-10-15 09:29:57
2
user1956772088148
maa Karembo :
mungu atukumbuke
2026-10-15 19:18:50
1
janeaisha8
janeAisha :
Mungu na mm sikia kilio changu jamn 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kwann mm 2😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nifanyje mm yatima 😭😭😭😭 mwanangu hatambai hainuki mfano kalal aamke akae mwenyewe hawezi kusimamia 😭😭😭 miezi 10 ila ana kaa vizuri na anajisogez na makalio 😭😭😭😭😭😭😭 nisaidieni daw hospitali wanasema han shid 😭😭😭🙌
2026-10-16 13:10:16
0
user13468586226565
stacy❣️ :
Amen 🙏🙏🙏 mungu tenda kwangu pia
2026-10-15 19:38:17
1
phina27t
phina❣️ :
Baby mat
2026-10-15 18:25:02
0
user6385204754034
faith29 :
amin san mungu nimwema sana [Pray]
2026-10-17 18:18:52
0
schola682
schola :
Mungu nikumbuke Pia mimi
2026-10-16 18:52:15
0
nancyandeso6
make zayden :
Naomba na Mm mungu afanye Jambo kwa wangu
2026-10-17 15:42:16
0
fioraville
Fioraville :
mungu muone na wakwangu
2026-10-15 10:13:36
1
collinsotieno391
lucycollins391 :
amen
2026-10-16 08:48:16
0
user3598489187260
Vicky :
Huu uongo MUNGU anawaona
2026-10-15 19:23:41
0
blec409
mama Blec :
🥰🥰
2026-10-15 13:52:45
0
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About