Mimi yangu Na spray Niki toka Ina Baki Nyumbani 😂😂😂🤣I really need to work hard......
2026-10-15 10:36:17
78
dankizzy@tz :
Daniel niko hpa naipata wp hiyo perfume niko dodoma
2026-10-16 07:19:14
0
Emmakija :
how much hiyo savage?
2026-10-15 09:56:42
5
Arman_bey ✅️ :
dinute shingap
2026-10-16 16:23:35
0
GeK :
[Tears of joy][Tears of joy]harufu ya perfume hivi tunasikia au tunanusa
2026-10-16 13:06:38
0
2 BRAND :
naomba uniuzie hzo unozojarib day cna hela
2026-10-16 14:24:00
0
MACUA DE TANZÂNIA 🇹🇿🇲🇿 :
Yangu naisikia mwenyewe tena kwa muda naupulizia tu
2026-10-15 12:52:00
13
Baba zuu :
Bro iyo sauvage bei gan
2026-10-15 12:02:10
0
Mr Yanga :
mbona me wazee sijawahi kuwa mtu wa pafyum..nisaidieni nifanyeje..nilinunuaga moja.nilitumia siku moja ikapita mieZi 6, nikasahau kabisa kama nina pafyumu ndani..
2026-10-17 17:34:36
1
Ms Bee🌹 :
Yangu utaisikia ukiwa karibu na mimi
2026-10-15 19:48:18
2
Just Shamy 🌹 :
Yangu hata mimi mwenyewe siisikii kaka🤣🤣🤣mpo wapi?