@iam_deniee: Kuna siri gani😂 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokviral #memestiktok #trendingvideo #tanzania

_DENIE_🫆👣
_DENIE_🫆👣
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 08:49:31 GMT
21631
1485
116
184

Music

Download

Comments

emmanuel_paul09
Emma Mullano. 🎒 :
Tulikua tunaokota hela za majini asaiv uchumi umetuchumu hata majini hayatupi tena hela. 😂😅😁
2026-10-15 12:06:22
49
justineevarist1
Falcon ⌚ :
zamani kuoga hadiuskie kunawali [Big LOL][Big LOL]
2026-10-16 05:42:14
0
dully.kipito
Dully Kipito :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mbona kama kweli vile
2026-10-16 14:07:34
0
mollysta84
mollysta :
Umewaza mbali [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 12:15:55
1
mchizykichizy422
Mchizy Kichizy :
mmoja aniambie jina la nyimbo hii tafadhari naomba
2026-10-15 20:04:52
4
kasasaart
kasasaart :
Afu Kuna hii nyingine watoto hawajikojolei usiku 🥺afu Kuna sisi tumekojoa hadi la 7😅😅
2026-10-15 17:58:30
8
robzaza29
Robzaza29 :
Zaman tulikua tunaokota ela now maisha maisha magum
2026-10-15 11:25:02
11
charzy_likertz47
charzy_likertz :
zamani uchafu tuu saiv mzaz Gen z mda wote anataka apige picha na mwanae usafi mda wote🥰
2026-10-16 07:43:09
6
mrkasheku0
KASHEKU JR 🏟⚽️⚽️ :
kwanza saizi watoto 95% wanazaliwa wazuri🤣🤣🤣 miaka yetu ilikuwa baraaa
2026-10-15 13:59:15
6
nelly.chuwa24
Nelly chuwa24 :
funza wa miguuni cjui walipotelea wap
2026-10-15 10:53:07
4
thomkizzy6
Thom kizzy 🎧 :
hapo kuna mambo haya✌️
2026-10-16 06:52:31
1
raymondthom1
Raymond :
zamani watu walikua wachafu
2026-10-15 12:20:18
1
rashboytz2
@BABA MALIK :
Zaman mtoto kuoga ilkuwa sio lazima🤣
2026-10-15 15:29:58
1
zexizotz
Zexizo :
😂😂😂 wote wako vizuri siku hizi Enzi zetu watu wanajikojolea hadi la 7 siku hizi daycare watoto hawakojoi
2026-10-16 04:16:32
1
xsavelking
salvador _26 :
tulikuwa wachafu kuoga
2026-10-15 10:46:47
5
huxain.haj
hussain hajj :
Oya Kweli mwanangu😹😹
2026-10-15 16:39:10
0
josephchacha660
josephchacha660 :
chanjo za kisasa
2026-10-15 13:57:16
0
salmin0702
salmin smile😁 :
barare pia hawatafuti 😂😂😂
2026-10-15 18:22:11
1
hamisa.ammy
MISSAH🎀 :
afu kwel asee😂😂
2026-10-15 12:59:35
0
haikaapple
Haika Apple 🍏 :
sikuizi wanaoga asubui na jioni 😂😂😂
2026-10-16 06:31:43
0
official.dully3
dully reider 🛣️👑 :
dah kwel mana
2026-10-16 08:07:41
0
tilagangbajajiboy
KING TILA :
Miti
2026-10-16 13:39:23
0
charlesmwambene
Charles :
Tulikua wa kienyeji sana, kideli kila siku😁
2026-10-16 06:37:14
0
montana113_
montana..26 :
zile zilikua kama logo za magang star
2026-10-16 12:56:19
0
combo.list6
Combo List :
umewadhaa nini
2026-10-16 11:48:51
0
To see more videos from user @iam_deniee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About