@spider255_:

SPIDER
SPIDER
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 10:17:39 GMT
90198
8311
815
332

Music

Download

Comments

j_mshambo
J2 :
mm mpaka naulizwaga na majiran sina mda uniongelee usiniongelee niwewe
2026-10-15 13:08:16
3
ngalah44
Ibrah :
bro mbona unatoboa siri yetu
2026-10-16 07:56:19
63
njelekela2026
𝗡𝗝𝗘𝗟𝗘𝗞𝗘𝗟𝗔 :
Hata tukiishiwaga chumvi hatukuazimi kapo tayali kula chakula bila chumvi [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved].
2026-10-16 09:24:14
3
icon_tev2404
🎮ICON_TEV001 🎮 :
Which Country is This 🫩
2026-10-15 21:12:12
3
user7780687594118
samweli wapili :
usiseme vijamaa sema silent killer you know?
2026-10-15 20:33:37
32
kaynashy2
Kaynashy :
they are called introverts wap very uncommunicable[Innocent][Innocent]
2026-10-15 15:26:38
8
donkaloza
Kaloza International. :
Not Vijamaa is a silent Service 😂😂
2026-10-16 05:50:03
0
young_daddy56
Felix :
Hadi mama mwenye nyumba kanambia niwe hata nakohoa ili ajue npo hai🤣🤣
2026-10-15 21:01:36
156
grace25147
Grace :
hivyo ndio ninajisikia vizuri dear sio uchawi ndiyo nilivyo 🥰
2026-10-15 11:58:37
113
bmw.bmw.bmw117
BMW :
aaah we jamaa umenisema kila point 😅
2026-10-15 20:38:26
1
dicedpm
DiceDPM :
Wanaitwa LONE WOLF EMPATH. Amepitia manyanyaso na mnyanyasaji ni mzazi wake au mlezi wake. Hivyo amejua ubaya na uzuri wa Dunia, anajua ulaghai wa watu feki. Anaweza kuishi mwenyewe sababu hali ya maisha imemfunza hivyo. Ategemei mtu kupata furaha au kitu chochote. Imagine unaziliwa alafu mama yako mzazi akupendi anakufanyia maajabu. Huyu akikutana na wale watu wabaya wanaokuja kwenye maisha yako anakupa mambo mazuriii badae ukizama mazima anaanza kukunyanyasa uwe mtumwa wake, sada hao wakikutana na huyu wanaacha ndala sababu anajua ulaghai wote ukimpa vitu (love bomb) anapita navyo alafu ukikata ili aaanze kukutafuta afanyi hivyo. Yaani unavyokuja ndio unavyopokelewa🤣🤣
2026-10-16 08:28:26
13
duruma.star1
Tea chai 🔥 🔥 :
Nipo mmoja wao yaani cjui kubembeleza kabisaa😂😂
2026-10-15 12:53:40
30
kwandusuday
Kwandu Suday :
nikiwa mwwnyew najiskia vzri zaidi
2026-10-15 13:24:29
26
ochu_guler
ochu_guler :
Sasa mtu ataki mazoea me nifanyaje😂
2026-10-16 06:09:50
5
user7791674437950
vaileth :
Mim apa toka asubuh niko ndan sijatoka nje
2026-10-15 10:23:40
15
mursheedy
Muu :
Sijui awaga najikuta nani mm😅
2026-10-15 14:33:48
5
crazy_efootball00
Crazy_Efootball001 :
Ndani nikiwa na uhakika wa chakula, wifi, ps 5, maji ya kunywa ya kutosha, pocket money ya kutosha 😂😂 nitoke nje nigande kwa baridi
2026-10-15 20:56:58
11
bossbabe423
AFISA MAENDELEO NYAMONG🫅💪💞 :
😁ujakosea😂
2026-10-15 11:25:52
9
reciousboniphace2
official rey :
live😂😂😂😂.nakubali mwanet
2026-10-15 12:34:25
1
2rajomu
RAJOMU 🤦🤦🤦🙏 :
mbn mm sas😂😂😂😂
2026-10-15 13:05:23
1
user6720096999932
ima Queen :
hatupendi kujichanganya na watu☺️☺️
2026-10-15 14:12:40
1
jumajose992gmail.com
juma makala :
uyo mm
2026-10-16 11:08:30
2
user6515008614281
vonny :
mimi huyo 🤣🤣🤣
2026-10-15 13:26:33
2
officialshaz65
[email protected] :
tunaish hvy hvy😅😅
2026-10-15 10:38:50
1
_traveller23
Georges le Grand :
sio shida zetu 😂😂
2026-10-16 10:26:56
3
To see more videos from user @spider255_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About