@winniestories1: Replying to @Rinna 💔❤️ ISABELLA — EPISODE 2 🎬🔥 Isabella ana ndoto kubwa za maisha, lakini hali yake ya kifedha inamfanya afanye maamuzi ambayo yanaweza kubadilisha maisha yake milele. 😢💸 Anampenda Alex ❤️, lakini je, Alex anampenda kweli au anaitaka pesa yake tu? 👀 Kisha anaingia Mr. Phillip… mwanaume mwenye pesa, lakini ambaye Isabella hakuwahi kumchukulia kama mwanaume wa aina yake. 👔💰 🔥 Hii ni mwanzo tu wa mchezo wa mapenzi, tamaa na siri! Wewe ungechagua nini: mapenzi au pesa? 👇❤️💸 Usikose Episode ya 3! 🥹🍿 #isabella #fyppppppppppppppppppppppp #viral #SwahiliStories #Lovestory
winniestories.
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 10:40:58 GMT
Music
Download
Comments
HELLEN ☀️⭐️💛 :
Huyo isabela ni kilaza sana 😂😂😂
2026-10-15 12:54:01
27
macrena🥰🥰🥰 :
mwandishi tunaomba isabela ajue ukwer mapema naampende vizur uyo baba
2026-10-15 11:55:55
23
🎀🦋🎀~~~~🦋🫶🎀 :
Una kawiya mwaya mbona nzur ivo
2026-10-15 11:32:16
9
jacque pisces :
issabella ananiuzi mimi kama vipi niweke mm nimpende huyo mr philip😳
2026-10-16 10:12:37
8
Aem mimi💦💧🍉 :
naombeni fimbo ile ya Nabii musa arafu msogee nyuma nipeni huyo isabela
2026-10-15 13:41:56
5
Lauryn Shayo :
Story inaanza ishanitia hasira huyu Isabelle itakuwa karogwa🤣🤣🤣
2026-10-16 10:53:47
5
Miss _Shery🤍 :
Semaa wanavaa nguoo nzrr😁😁
2026-10-15 14:02:53
3
kipepeooo :
jmn unajua kutungaaa stry
2026-10-15 12:00:55
0
LOVENATION🥷😈 :
kwn wakina Mr Philipo wapo wp jmn[Tears of joy][Tears of joy]mbn nawatafuta siwaoni
2026-10-15 20:19:52
1
ester chalress :
ila huyu Isabella mbn anantia hasila San jmn 😩🙄 uvumilivu unanishinda sasa😂😂
2026-10-16 08:14:10
1
Saerin bae7 :
mwendelezo jmn 🥰
2026-10-15 15:01:55
0
suzane :
jaman philip nampenda mimi,maana puck hafai kwamatumiz
2026-10-15 15:53:43
0
ruckybabe98 :
Naomba Mr philip hasiumizwee😂😂😂
2026-10-15 13:41:28
1
Hellen Michael :
Ujawahi kutuangusha 🥰🥰🥰🥰
2026-10-16 11:22:30
0
beatriss Joseph :
mi wapil
2026-10-15 10:50:43
0
official mamu ❤❤ :
yaan jamn imeanza juzi tuuh ila naipenda hatar hatar
2026-10-15 12:51:17
0
Neema Kiwia :
Daah! Leo mtu kaitwa Bby! Ila Alex MUNGU anakuona
2026-10-15 15:56:25
0
Fatuma Hasan :
nzur mnooo
2026-10-15 11:26:15
0
Rynee baby💕💕 :
Yan Isabela anaumia yeye ili mpenzi wake apate 😏
2026-10-16 10:46:59
1
MALAIKA🌸 :
Ila Izabela 😂💔
2026-10-15 13:41:33
1
neybeuty🥰 :
nime wait balaaa 😘🤣🤣
2026-10-15 12:07:13
2
Happness Andrew :
mwendelez pleas
2026-10-15 15:02:51
2
baby cute🧚♂️❤ :
next plee tumeipenda
2026-10-15 13:34:55
2
De Aryan Race Jollity :
mtunzi upo vzr hongera xan
2026-10-16 08:28:52
2
🥰Mom Feysar 🥰🥰 :
nzuri sana
2026-10-15 11:41:11
2
To see more videos from user @winniestories1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.