@malkiachoicefm102.5: "Nimeshawahi kumfumania mwenza wangu na sikumnyima unyumba, tena nikimfumania show ndiyo inaanza upya kama tulivyokutana, kule alipita tu, tena asiniambie biashara ya kuchoka" - @somowataifa cc; @rehema_nyamaka @somowataifa #mtaawapili #malkiachoicefm #chaguolamalkia
There is no benefits of marriage for men in modern society
2026-10-15 15:12:48
4
Mrs Juma 💍❤️ :
mm ndo Sophia sasa [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 17:38:45
0
Mariam Koroso :
Hata mimi simp
2026-10-15 13:46:53
0
Neema Mg :
hat mm siwez[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-15 13:33:25
0
Mamy Fey :
Piga ndefuuuuuu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 16:14:32
0
JACKLINE MUSSA :
mim simpi kipenz tena ata kunisemesh tu hawez
2026-10-15 14:09:54
5
mrs mussa tz :
😂😂😂😂😂😂nachoka mm🙌🙌
2026-10-15 12:51:58
0
Jasmin collection 💕 :
mm siwezi nyima mmewang hata nimfumanie
2026-10-15 13:31:55
10
Lisa Mandela :
me mwnyw simpi
2026-10-15 13:43:05
3
lilymbando :
hisia zinakata
2026-10-15 13:54:39
10
Pimosbabe 🦋 :
Tusio Kuwa na Wame tunakaa wapi jmn😂😂
2026-10-15 15:19:37
2
Brilant :
ko ukimnyima ndo unamkomesha…au ndo ataacha???
2026-10-15 15:09:51
3
Sultan mkale :
sasa usipo mpa ndio unatibu au vp
2026-10-15 15:20:11
1
SHARIFA Emanuel :
mm nikute SMS Tu simpiiii mwezi mzima weee siwez kwakweli
2026-10-15 14:45:08
1
Fah.dimple.family :
Kama humpendi unaeza kumpa maana utakua unamuigizia lakin kama unamapenzi ya dhati hisia zinakata na kama utampa kiroho upande ila hyo kwa upande wangu nd nipo ivo
2026-10-15 17:06:18
2
Joe boy10 :
me Wang akikuta sms analal na nguo ila asubuh anavua mwenyew 😂😂😂
2026-10-15 18:16:26
0
claricemathias9 :
Mmmm
2026-10-15 13:47:30
1
fatma884 :
mimi siwezi kumpa aliroke huko nahalafu aje na kwangu
2026-10-15 15:56:47
0
Msukumaa pekee handsome :
hapo ndio wanawakee mnàofautiana
2026-10-15 16:19:01
1
Azam one :
IMSINGLE 😂😂
2026-10-15 15:23:45
1
Sunu Akbar 🥰 :
mimi nampa yani kama hakikatokea kitu
2026-10-15 13:03:40
0
Elisawell Lema :
mi simpi jmn
2026-10-15 13:52:50
1
user1310250527968 :
mapenz yanazid ukimfumania🤣🤣
2026-10-15 13:40:23
1
Kcalvin25 :
Dada angu we MUNGU abaliki.ndoa yako maana ukimnyima ndo.unamfukuza ila ukiimfma alf ukampa haki yake kunanamna unamfanya abadilike aache kcheat
2026-10-15 15:54:14
0
Alfan :
daa sofi apewe maua yake jamani🌹🌹🌹🌹🌹🌹
2026-10-15 22:18:05
0
To see more videos from user @malkiachoicefm102.5, please go to the Tikwm
homepage.