@kindboy107: Bikra😓 #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #tanzaniatiktok #bikra bikra

mysterious
mysterious
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 11:52:09 GMT
27333
721
91
162

Music

Download

Comments

sehaiya_
Sehaiya II :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 17:43:24
0
user5530653404970
loveness :
kama tabia nzuri ni bikra sawa😂😂😂
2026-10-15 12:07:21
26
neema32993
🌹ney🥰🫶 :
Mpenz wangu akiona naachwa [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 18:05:55
0
user7026112322482
nayna 🥰 :
nitaolewa nanani nakati nilishajipangia mahali milioni 3
2026-10-15 14:42:36
8
fatumamajaliwa218
ummu :
vipi kuhusu nyinyi wanaume
2026-10-15 17:08:58
4
qalbikwaallah
Qalbi :
watu wengi husema kua, eti ooh oa mwanamke bikira, tuludi nyuma kwamba hakuna mwanamke anae jitoa iyo bikra, chanzo kikubwa ni hao wanaume wana wa laghai mabinti, kisha kumaliza tamaa zao wanaondoka bila kujali kwamba ameharibu kitu. na pili niwakumbushe kwamba kama kwenye dunia ya sasa kungekua na wanawake bikira basi, hiyo basi na wanaume bila shaka wangekua bikira vile vile. sababu chanzo ya mwanamke kutokua na bikira ni mwanaume, so msipende kuwa sema vibaya wanawake. mind you kwamba jinsi unavyo ongea ivyo unakandamiza jinsia hiyo ambapo kuna mama yko, dada yako n.k, je una uhakika gani kama na mama yako aliolewa akiwa na bikira. najua kwamba ni makosa kutokua na bikira lakini muache kukandamiza wanawake sio haki hata kidogo, sababu mnaongea hivyo hamjakaa katika nafasi ya mwanamke, na laiti mngekua hapo mngeona ugumu uko wapi. so stop distriminating women's jamani 😓😓😓...
2026-10-15 17:23:47
8
balkissmalkia
Balkiss Malkia :
niacheni nachanganyikiwa mwenzenu
2026-10-15 14:07:38
6
user9327342871804
Mage :
poleni
2026-10-15 14:42:52
0
user4096171820885
it's Jackie 03 :
Haswaaaaaaaaaaaa 👌🙌
2026-10-15 14:45:43
0
irenemwakisomola
Irene Mwakisomola :
haya mimi bikra nimejitoa mwenyewe ko nijioe au🤣🤣🤣
2026-10-15 14:57:15
2
user61569822128874
Merry. :
mtengeneze hzo bikra tuzinunue aaaah nachoka mimi
2026-10-15 15:09:16
2
halima.fadhili74
Halima Fadhili :
bikra gani mnayo zungumzia
2026-10-15 17:04:25
1
chemchemyaafyabora
@ChemchemUzimaHealth🌿 :
Ni Sawa lakini vipi kuhusu wale wanao watoa na kuwa acha wapo wameolewa bikra na bado wameacwa anyway tuombeane mungu
2026-10-15 14:41:28
2
munny1088
munny🦋❤️ :
ukweli umuweka mtu huru
2026-10-15 14:43:04
1
kim.nana4089
kim nana :
Allah atuhifadhi w.wake wote inshallah
2026-10-15 15:00:02
1
billoh.vanny
Billoh Vanny :
“Kwa upande wangu, mwanaume ana haki ya kuweka ubikira kama kigezo cha mke anayemtaka. Ndoa ni uamuzi wa maisha yote, hivyo kila mtu ana vigezo vyake. Kama mwanamke ana haki ya kuchagua mwanaume anayemtaka, basi mwanaume pia ana haki ya kuchagua mwanamke anayekidhi matarajio yake. Hatuwezi kulazimishana kukubali vitu ambavyo hatuvitaki kwenye ndoa zetu. Ni bora kila mtu afuate misingi yake kuliko kuingia kwenye ndoa huku akiwa na majuto.”
2026-10-15 12:19:31
2
faahcute88
🦋kim faah 🌸🌸 :
Tunazo na tuna tamba nazo mpo wapi bikra wezangu
2026-10-15 18:27:38
0
warda.masele
warda masele :
kama ulikua mzinifu utapata mzinifu mwenzio.
2026-10-15 18:23:58
0
me626323
Me 🥰😍🥰 :
lets imagine waliongea 1900 ety asitolewe mahali
2026-10-15 18:07:59
0
pop.kiddy8
Pop Kiddy :
kwaiyo tufanyeje tulikua tukae bla kupenda bla kuolewa
2026-10-15 18:06:39
0
browmbwilo
BROWN MBWILO :
Kwahiyo kwisha
2026-10-15 18:14:33
0
adolfpeter265
aidan47 :
walai msha nivuruga
2026-10-15 18:21:34
0
yuyajr1
Raphael :
true
2026-10-15 18:20:09
0
franksamwelnnko
Tall mnyama :
kwel kabisa
2026-10-15 18:19:40
0
eliyamsafir
Eliya Msafir :
Hawapo saivi
2026-10-15 18:19:52
0
To see more videos from user @kindboy107, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About