@koudijstanzania: Faida katika ufugaji wa nguruwe huletwa na Uchaguzi wa Mbegu Sahihi, Lishe Bora na Usimamizi mzuri wa Mradi. Kwa @asantefarm_25 kutumia bidhaa za Koudijs kumekuwa sehemu muhimu ya safari yake ya kufikia matokeo bora. Kwa sasa, kupata nguruwe mwenye uzito wa kilo 100 ndani ya miezi 6 si jambo la kushangaza tena! Na wewe unaweza kupata matokeo kama haya ! Anza sasa kutumia bidhaa za Koudijs, kwa matokeo yenye tija zaidi. @asantefarm_25 #Koudijs #FeedingPerformance #Tanzania #Mifugo