@millardayo_: Mahakama ya Wilaya ya Mbeya imemhukumu Reiga Innocent (21), Mchimbaji wa madini na Mkazi wa Iwindi, Mbalizi, Mkoani Mbeya, kifungo cha miaka 30 Jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka Shangazi yake mwenye umri wa miaka 63. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa Mahakama hiyo, Tedy Mrimba, Mahakama imeeleza kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 29, 2026, majira ya jioni, wakati Mshtakiwa alipofika Nyumbani kwa mhanga na kumkuta akiwa peke yake. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa Mahakamani, Mshtakiwa alimshika mhanga kwa nguvu kabla ya kumbaka, tukio hilo lilisababisha kufunguliwa kwa kesi iliyomkuta Mshtakiwa na hatia ya kosa hilo. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Imelda Luko, ameiomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa Mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa Watu wengine wenye tabia kama hiyo, kwa lengo la kukomesha vitendo vya ukatili katika Jamii. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 12:55:10 GMT
100354
4775
489
219

Music

Download

Comments

happypesambili729
🌚 :
mna uhakika gani usikute shangazi kataka ila haijalipwa
2026-10-15 13:03:29
120
eli111333
El 117 :
alafu kwanini miak 30 kwanishangaz ni mwanafunzi
2026-11-07 01:47:25
33
charlesmarefu562
ROHO SOFT 🫀🫶🧢 :
hasa hapo kosa lipo wapi jaman kuoneana tu kumsaidia mjomba kazi ndio mtu afungwe
2026-10-15 17:47:12
12
albert06023
Albert-060💰 :
Kwani kuna shida gan mtu akimla shangazi yake jaman
2026-10-15 13:42:40
14
selma__khalifa
🦋The Real selma💦 :
alobaka anamiaka mingapi tuanzie apo kwanza
2026-10-26 10:34:14
10
juniortz_5
JUNIOR :
Naona kabisa next stop ni kwa Shangazi yangu
2026-10-15 13:20:04
8
qnaira.224
IamNairah224🐍 :
Ndugu wa baba hawana laana wanalika tu hajabakwa nimaridhiano
2026-10-15 13:25:23
15
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
Jaman postin na za mafisadi wanao iba mabilion
2026-10-15 13:04:32
22
mrsmanase5
🦒Mom miracles 🌾🍃Mrs MJ ☄️ :
😂😂😂
2026-10-15 13:03:13
2
isaya.joke
Isaya Joke :
sasa hapo kosa liko wap
2026-10-15 13:38:18
3
mmmmmmmmh495
Tajikistan :
akooo au akeee
2026-10-15 15:14:05
2
thatmelanin1808
MeLa+250🫦 :
ndagu iyo
2026-10-15 13:34:07
2
nimrodnashon233
mponyo :
shangaz mwenyw anasemaje
2026-10-15 13:38:44
2
twevethegreat
twevethegreat :
miaka 21 si mtoto uyo
2026-10-15 13:17:13
2
baba.d7522
Baba D :
ndo maan hadi elinino imeogopa kuja mambo gan haya
2026-10-15 13:45:00
2
mishdior
mishdior :
Jesus
2026-10-17 05:42:49
1
user6269619619253
samson katisho :
mmh vijan siyo pow
2026-10-15 19:39:51
1
saidiznkya
Saidi Zubery Nkya :
Duuh Jamani
2026-10-16 07:47:36
1
billsaint_
BillSaintTz :
Sasa huyu 😁
2026-11-14 05:31:21
1
silvanusnyangi
MR. Casio :
bonyeza # kuhama. tanzania
2026-10-16 08:06:27
1
dee81949
Dee🇹🇿🇨🇳 :
Duuh Kali🙌🙌
2026-10-15 13:35:50
3
abby_dart_boe
Mr Ability. 🧔 :
🤣😂😂
2026-10-15 13:23:40
1
sefumoto593
Ghost 13 :
mbona mnaposti kesi za watoto big fish vip siziono🤣
2026-10-16 06:23:55
1
richman2008_
@realyhustler💪💪 :
sasa kosa lipo wapi !?
2026-10-15 21:55:13
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About