@siunaona54: Twisted Affairs🫶

Siunaona🙃
Siunaona🙃
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 13:17:01 GMT
33605
1377
43
17

Music

Download

Comments

mrsed066
☆❣️𝑽𝒊𝒏𝒕𝒂𝒈𝒆 𝒈𝒊𝒓𝒍❣️☆ :
mm cikapend ako ka nehir jmn cjui kwann
2026-10-15 13:21:03
17
reshyy.queen
@ItsReshyy🦋🤍 :
Ila hii movie director amemuonea sana Neslihan jaman 🥺🥺 ampumzishe bas tunaumia na sisi 🥹🥹
2026-10-15 14:45:34
30
qeensheenda
misssophie❤️‍🔥📸 :
Mtt wa kike nae roho kama ya damla [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-15 14:36:04
5
zuuh.001
REGINATION💙🌸 :
ila uyu mtoto Nehil nae anachangia maumivu kwa upande mkubwa kwa mama ale
2026-10-15 13:39:50
22
siahmark24
siah@ :
jamani kwani huku tumepita au bado
2026-10-15 14:03:46
3
sophiamajid567
mama G567 :
ila kiukweli malezi ya watoto awajui yaani mtoto kama kamzaa mama yaani ananyenyekewa balaa
2026-10-15 15:01:56
4
siahsimbeye
miss❤️💫 :
mm zaid yan
2026-10-15 15:54:17
1
nana.heena
Nana heena :
shid ilo li nehil linaendekezw san
2026-10-15 13:46:52
4
nay432773
Naah💋 :
Ilikuwaj damla na Murat wakaja kurudiana jaman wakati waliibiana ela
2026-10-15 19:26:17
0
buthalia_hussein
Buthalia_hussein :
Kwani polisi wako wapi?napata hasira mimi
2026-10-15 17:57:31
1
rosembaga999
rosecharles💞💫 :
sijapenda kwa nn mda mwingi mwandishi anamtesa neslhan
2026-10-15 14:39:17
2
last_tz8
🥰last :
hii ishapita au bado
2026-10-15 15:10:39
1
_lalo_baby
lalo💞 :
kwahiyo watarudiana bhn
2026-10-15 15:31:23
1
user2249274840458
@nono💗 :
jmn😭😭
2026-10-15 13:45:38
2
sabevictor
sabevictor :
Yani director alijua kuwapendelea Damla na huyu bwana ake aiseee hata kama kha
2026-10-15 13:41:51
1
janetyy_5
janetyy_🎀 :
duuuh 😭
2026-10-15 13:34:05
2
zuwena.khalfan5
Zuwena Khalfan :
iko mbele
2026-10-15 16:06:57
0
shadya989
hayaat ❤️❤️ :
ila ichi Cha kiume kinampenda mama ake mashaallah
2026-10-15 14:06:16
0
mirigcute
mirigcute :
Aaa bana kila siku Mdada wawatu anateseka yeye nitaacha kuangalia
2026-10-15 14:19:52
0
yasintapatrick
Cintah beauty poin :
Jamani watoto wakiume na mama zao apo kanatamani kuondoka na mama😢
2026-10-15 16:51:13
0
philomena.kessy8
Philomena kessy🦋 :
Mpaka hii tamthilia iishe nitalia sana🙌🏿🙌🏿
2026-10-15 16:17:01
0
mrsunkowon1
Mrs A❤️ :
Hs krudij kwa daml Murat nae
2026-10-15 14:20:45
0
mamajojo89
shackie :
huyu nahili kachukua roho ya baba ake
2026-10-15 15:00:21
0
leismah
leismah🎀 :
😳😳😳
2026-10-15 13:21:49
0
sofia.djuma2
Sofia Djuma :
🥰🥰🥰
2026-10-15 15:33:34
0
To see more videos from user @siunaona54, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About