mm nilikuwa kilaza darasani kila mtihani 0 sikuwai pendwa na demu yoyote mpaka namaliza
2026-10-16 14:20:24
1
never give up :
na tuliomaliza chuo kabsa je
2026-10-15 13:54:22
2
joram@ :
😂😂😂 mm hadi nikamaliza chuo sina hiyo time
2026-10-15 13:29:38
2
Question mark ? :
ameeen
2026-10-15 13:36:54
2
Gabriel mwita mashaga :
amina
2026-10-15 13:39:52
2
Shamri Mkumba :
amiin mm apa nilikua kiongozi wa dini kwaiyo nililinda heshima ya uongozi sikuwai kutembea na mwanafunzin yeyoye kuanzia kidato cha kwanza adi namaliza form4
2026-10-16 08:23:19
1
JoJo75 :
amen naomba kujiungamanisha na hizo baraka
2026-10-15 16:27:21
2
kabadinho :
waai sisi tulipita na maklas ment paka mamatroni nabado tukabarikiwa tu ishu c kupita nao wepambana na kazi
2026-10-16 10:53:01
1
abdallah BIN'Omari :
allahu akbar 🥀🌹🌹
2026-10-15 13:30:58
1
caphu.tz :
Amina had chuo nooooo
2026-10-15 15:51:19
0
kabhikhushchamberUkerewe🇹🇿 :
😁😁😁😁 nianze kubarikiwa mimi hapa wallahi
2026-10-15 17:29:06
1
Dipens :
mimi sijui ata nisemeje maana dahh sio powa, allah atuhifadhi na atujaalie mwisho mwema sisi na wazazi wetu amiin
2026-10-15 17:21:49
1
Miss swad :
Amina
2026-10-16 08:06:26
1
Hundred-boy⁰⁷ :
Amen
2026-10-15 13:30:37
0
user8115630441072 :
ni mm huyo. hata mwl ckuwah kufanya naye mapenzi.
2026-10-15 19:07:05
1
Mr koti II 2027 Pk 27 :
Ok but nimeshatubu kuhusu mambo ya mapenzi na wanawake mimi sitaki na hiyo Mungu wa mbinguni alikuwa hapendi wala hapendezwina hicho nilichokifanya kipindi cha nyuma kwa hiyo mimi nasubiri mibaraka ya Mwenyezi mungu aliye juu na hai ili anibariki kiuchumi ndipo niombapo ni katika jina lako yesu kristo Amen
2026-10-15 17:58:48
1
steve trucker TZ :
Amina napokea hzo baraka
2026-10-16 08:06:51
1
chistanta :
amen kwakwel cjawah kabisa shule had saiv nipo 4m6
2026-10-16 08:17:46
2
Juma Zongo :
Mm nilikuwa domo zege shule ila mtaani wake za watu niliburuza sana
2026-10-16 07:52:41
1
To see more videos from user @ukerewe.kisiwani, please go to the Tikwm
homepage.