@mr.finance10: bajeti ya 300,000/= ni bajeti nzuri sana tafadhali jifunze kutunza fedha zako kwa maslai yako ya kesho #biashara #mtajimdogo #business #financialadvice #tanzania

Mr finance
Mr finance
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 13:52:24 GMT
134015
4062
243
125

Music

Download

Comments

mrseric22
JESSYLOVE :
fungu la kumi Kiko wapi tujifunze kula na Mungu
2026-10-16 13:05:49
0
simfurozafungo
Tasim :
umeme, maji na takataka 10,000?? are you serious Mr finance???
2026-10-16 11:44:50
0
theboy111peter
Imma🪖🇹🇿 :
Mbona hujaweka ya dem wangu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-16 12:37:41
2
user8769911148553
@lian- Kelly :
sadak weka 30000 asilimia 10 ya mshahara wako
2026-10-16 08:51:30
25
naredevaxy
Nare de boss🥰🥰 :
naomba ya 150000🥺🥺🥺
2026-10-16 17:25:15
1
nacy.j4
Nacy J4 :
mimi nalipwa.hiyo hela.ila.akiba yangu ni laki mbili 😂😂😂laki moja matumizi ya mwezi mzimaaa hapo ntajua mimi naitumiaje ila akiba lazima iwepo hiyohiyo
2026-10-16 12:12:41
16
lionsa188
lameck :
chakula gani cha 80000 kwa mwezi 😂😂😂
2026-10-16 13:52:48
6
rehemagodwin2
rehemagodwin2 :
na sisi wa laki na 20
2026-10-16 14:24:25
1
mgeli.mzumari3
mgelimzumari :
Hapo inabd usiwe na namba ya ndg yako yeyote Yule
2026-10-16 17:10:52
2
travistns
travis :
towa sadaka iweke kwenye enjoyment [Cool]
2026-10-16 04:59:18
1
mariethanshiga
꧁༺ 𝓜𝓲𝓵𝓭𝓻𝓮𝓭_𝓒𝓪𝓶𝓶𝔂 ꧂ :
Je wa 200k-250k
2026-10-16 11:33:23
1
shariff.bashiri4
Shariff Bashiri :
hyo Kodi kwa miezi 6 ni 50,000 nambie wap nije nipange na mm
2026-10-16 13:40:38
1
homymary
HomyMary :
naomba ya 200000
2026-10-16 08:39:39
1
feyberry2
Fey berry :
Hela halali ngumu jmn inaumiza sana 😳
2026-10-15 17:59:45
2
brand_344
Am' InnOcEnT✅ :
hapo kwenye nauri labda isiwe mkoa wa dar lakin kama ni dar uwez Tumia nauli ety elf moja kila siku ni uongo
2026-10-16 11:13:42
3
masklady31
mask lady🥷 :
Naomba wa 1,100,00/=pls
2026-10-16 14:43:01
1
othan.dem4
Y011 :
hapo kuna mambo haya ✌️
2026-10-16 10:49:27
2
selu12312
selu12312 :
mbona pesa ya DHARURA hujaweka ndiyo watu wengi husahau na huharibu kila kitu jambo likitokea ghafla
2026-10-16 14:46:46
1
ms_abiela
ms_abiela :
Ani ela ya enjoyments kubwa kuliko sadaka
2026-10-16 13:04:08
1
ixf.icon
ñixf icon🦋🍃 :
fany ya laki mbili
2026-10-15 17:52:55
1
fitness.4.survive
fitness 4 survive :
enjoyment 15😄 sio kweli
2026-10-16 05:41:14
3
lydiasupery
Lydia :
fungu la kumi ni 30k kwa mshahara wa 300k
2026-10-16 10:59:24
2
vicentcharles96
Vicentcharles☆*☆ :
bajeti ya 230.000 je
2026-10-15 17:44:41
1
user8161746127999
sharafi :
we unaweza
2026-10-16 03:15:00
1
albart533
albart533 :
fanya Naya 55000 mkuu
2026-10-15 21:28:41
1
To see more videos from user @mr.finance10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About