@selphix_media1: Diwani wa kata ya Kigwe wilayani Bahi mkoani Dodoma Mh Adoni Mabalwe amewataka wananchi wa kata hiyo kufuata taratibu rasmi za kisheria pindi wanapokuwa na migogoro ya ndoa ili kuweza kujiepusha na mauaji yanayoweza kujitokeza katika changamoto hizo za ndoa. Diwani huyo ametoa Rai hiyo alipokuwa akizungumza na @selphix_media baada ya kutokea kwa mauaji ya kikatili yaliyomuhusisha Clementina piusi luzua aliyeuwawa na mume wake Anatori Ulanga katika Kijiji Cha Mapinduzi. Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media kupata taarifa nyingi Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zaidi #dodoma #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral #tiktokkenya🇰🇪
Haya mauaji yanafanyika kila siku. It is now a national problem
2026-10-16 08:51:43
0
shabanikusaja :
poleni sana watu wa kingwe
2026-10-16 07:46:48
0
SADA JUMA :
duuh haya mapenzi jamani
2026-10-16 00:13:49
0
PAC_CATERING_DODOMA🧑🍳 :
pole sana
2026-10-15 17:37:09
0
Dorcas Msengi :
polen sana
2026-10-15 19:43:29
0
@Mery :
Daaaah ukimchoka mtu mwache tu sasa apo mwanaume unaenda jela watoto wanabaki wanateseka jamn,, polen sanaaaa wafiwa
2026-10-15 21:13:21
0
feimomo 352 :
hiv jamani hata Kam ni wivu wa mapenzi ndo umuue mtu au Kun mengine kwanini uwe mtu wanandoa tunateketea kiukweli hli swala viongozi waangalie Kwa jicho la pili😭😭
2026-10-15 20:43:15
0
shuu food :
yani nimeshituka sana huku ni kijijin kwetu sijawah kuona wala kusikia matukio ya wandoa kuuana hv miaha 58 kweli unamuua kisa tendo la ndoa? siamin nakulaan sana we muuaji hukuwaza hata watoto wako
2026-10-16 00:05:16
0
Elizabeth Shrima :
Walah Kuanzia Sasa Ma single Father Mjiandae Lohh..Mta2maliza Jaman .
2026-10-15 22:29:37
0
Latifa_beauty_saloon :
Daa wanandoa wanauwana sn
2026-10-15 19:23:47
0
Ester Shabani :
Mbona imekuwa kama sifa kwa wanaume jamaniii tunaenda wapi?😭😭😭
2026-10-16 09:21:06
0
To see more videos from user @selphix_media1, please go to the Tikwm
homepage.