@healthyfity1: Mtoto wako anasumbuliwa na changamoto ya tonsilitis, tonses zake zimevimba, mafua ya mara kwa mara, homa za mara kwa mara na anapumua kwa shida.. Ameambiwa akafanyiwe operation au amefanyiwa operation na imerudia tena.. Wasiliana na HealthyFit clinic kwa kurejesha afya ya koo bila operation. #tonsilstones#tonsilitis #sorethroat
msaada hapo ni oparetion tu wangu amepona kwa kufanyiwa hvyo
2026-10-15 16:24:32
7
minah 🍫 :
Mtoto wa miaka 4 ni mdogo kwenye operation ya tonsens 🙌🙌nenda Ekenywa hospital kuna watoto wa mwaka na wanafanyiwa wah Eeh
2026-10-16 03:49:11
1
muba98 :
Kuna spital moja dar es salaam IPO yombo vituka hio spital ni ndog tu lkn mashallah mm wng nilimpelek mwezi w 8 akapew dozi y miez miwili na juna nimeenda nae ten kumalizia dozi lakn alhamdulillah saiv yupo vizur na yy ni mtoto wa Miaka 4 ivo ivo km Kuna atae htaj namb y huyo dokta anifate DM
2026-10-15 16:55:42
2
aminah :
mm mwanangu yalimtesa sana haya jmn tangu kiwa na miaka 3 lkn alivyo fikiy miak 5 daktar akasema hapa sasa dawa yake ni opareshen alifanyiwa na sasa ana miak 8 hayajawai msumbuw tena
2026-10-16 07:17:17
1
johari mtoto wa baba🤺🤺🤺🤺 :
hii Hali ilinitesa mpaka nilipo fika miaka 20 nilikunywa madawa sana nilifanya kitu Moja tu mpaka leo Sina hivo vitu 🙌vinauma asikuambie mtu
2026-10-15 16:09:02
0
marybella🌸🌹 :
Zinatabia za kulud mm nilimpelek mwanangu doctor alishaur nimuache zinatabia yakulud haziishi kuna daw akipiwa zinapungua
2026-10-15 18:17:36
1
Samia Samiu :
opareshen ndio tiba sasa,,wangu alifanyiwa saiv yuko vizur kabsa na alikua na miaka 3
2026-10-15 19:45:42
0
it's me :
muwaishe dadaangu itakuja kua shida badae
2026-10-15 17:33:36
0
Mom girl's 👩 :
mbona mkubwa wang alifanyiwa na mwaka1
2026-10-16 07:58:51
0
🦋naalyan🦋 :
me zilini toka nimetumia dawa sijapona .nimeachana nayo asaivi yenyewe yanalud ndan
2026-10-15 16:24:19
0
UmmuRayyan♥️♥️ :
pole sana ila usisite mm mwenyewe wakwangu anamiaka mitatu alinitesa ila nimemmfanyia anamwezi tangu nimemfanyia sasa analala vzr anapumua bila shida hata afya imeanza kukaa vzr
2026-10-16 09:44:03
0
mamake chimami :
omba mungu utawakal afanyiwe opareshen
2026-10-16 07:11:13
0
BAKARI SAIDI :
ata mimi wakwangu alikuwa iyo na alikuwa anapumua kwa tabu ila nilikubali afanyiwe na sasa yupo salama kapona kabisa alikuwa na myaka 4 tu mpeleke anateseka sana
2026-10-15 17:08:29
0
schoral :
Mm wangu kafanyiwa juzi ana miaka 2 na miez 9
2026-10-16 08:33:05
0
its_aisha :
Ata me mwanangu kafanyiwa xaiv yup Xwa kabisa na alikuwa an miak 4
2026-10-16 08:33:24
0
shamsaj :
Sasa unataka afanyiwe akiwa na umri gani wakati huo ndio umri mzuri
2026-10-16 05:03:00
0
EVANNA🇹🇿✨🧸 :
Kama wangu yanı alıkua anakohoaaa kama mtu mwenye TB ıkıfıka usıku ndıo balaa nashukuru Mungu tukaenda mtoa🥺
2026-10-16 00:31:57
0
user3420686303690 :
Usisite zitageuka hizo na kuwa kitu jingine ziondoe mapema
2026-10-16 02:36:41
0
prisca :
opareshen ndio tiba saa hat mtoto wang alifanyiwa saiv Yuko vizur kabas alikua namiak 2
2026-10-16 05:10:34
0
Asma Ramadan :
Mimi ninayo wallah nikirudi Tanzania nafanya preshen na nyama za pua yaaarb niepushie n maradhi makubw n mdogo
2026-10-16 11:30:20
0
lydiak :
usisite mpeleke afanyiwe mtoto , me nilikatwa
2026-10-16 09:26:07
0
OfficiaQueen Ray 🥰🔐💞 :
Allah amfnyie wepes
2026-10-16 05:18:02
0
Simon Geophrey :
mpelek hospital mtoto anateseka
2026-10-16 08:05:27
0
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm
homepage.