Kifoo Kifoo😭Niliolewa mwaka jana Yule kaka wa kisukuma alijua kunijali Ndoa yetu ilikua na upendo mnoo,Mume wangu alikua mkulima wa vitunguu(Ddoma) mimi nikiwa na duka la nguo,Alilima vitunguu heka kadhaa kama ilivokua desturi yake ya kulima,Lakini bahati mbaya Lile eneo alilolima ilikua bondeni mvua ilinyesha kubwa,Maji yakawa mengi bondeni Vitunguu vikasombwa na maji ya bondeni iyo siku Ndio nilimuona Mume wangu analia kama mtoto,Akampigia rafiki yake anajihusisha na uchimbaji wa madini(Ushirombo) akamwelezea Uyo Rafiki akamshauri aende uko kwenye uchimbaji😭Binafsi nilimkatalia asiende uko Roho yangu ilikua nzito sana,Nilijitahidi kumbembeleza sana tubaki wote Dukani kinachopatikana tutakula pamoja ila Mume wangu alikataa kubaki😭Akaniambia nimpangie nguo akaangalie tu ramani kama hakutakua vizuri atarudi,Basi nikampangia nguo akaondoka,Tarehe 28.5.2026 sintasahau hii siku napata taarifa ya kifo chako Mume wangu akiwa uko Machimboni😭Imagine Ndoa yetu haijatimiza hata mwaka mmoja? Maumivu ninayopitia kukupoteza sitamani mtu ayapitie😭 Natamani angenisikiliza asingeenda uko Mume wangu😭Namkumbuka mnoo kumbukumbu zake nyingi Nzuri zimejaa kichwani kwangu,Miezi kadhaa sasa imepita tangu uondoke Duniani ila naona ni kama Jana😭Bora ungeniacha na mtoto lile tabasamu lako ningekua naliangalia kwa mtoto😭Endelea kupumzika kwa Amani Ngosha wangu😭😭😭😭
2026-10-16 13:29:29
69
Okelo Tv :
Debo nothing to say but God knows bye class mate since 2001
2026-10-18 05:42:52
0
HD MOTORS :
Sijaelewa huyu si debora au
2026-10-16 11:37:37
6
Eng J :
my condolences
2026-10-19 18:58:16
0
Justina :
dah polen sana Wana family 😭😭
2026-10-16 06:35:05
2
Boss lady❤️🌺🌎 :
Ningekufa at badala yake maana nimechka💔💔💔
2026-10-17 17:45:52
3
Albert :
Najua ni kweli tunaumia lkn ni kweli huwa wanasikia haya maswali tunayowauliza waliopumzika?.
Mungu amrehemu sana na kumpumzisha salama na kwa amani watoto tunawaombea kwa Mungu awatunze na kuwalinda na kuwapa afya njema.
2026-10-16 07:40:31
2
Messo Brigitte23 :
anaenda mbiyo kifooooo eeeeeeee pole sana 😭😭😭
2026-10-16 08:58:44
1
Annah♊555🧿 :
Dada yangu mimi 😭😭
2026-10-15 20:16:15
2
Sarah Nyeriga :
Mungu atupe moyo wa uvumilivu na subira na kukubali yaliyotokea wanawake wote,inauma watoto wamebaki yatima😭
2026-10-15 20:04:26
0
Noel Swai :
Poleni saana 😭
2026-10-16 02:36:31
2
Godyfrey mtei🥳 :
pumzika kwa amani dada yetu mpendwa will always love you
2026-10-15 18:52:57
2
Happy George :
wazuri wanakwenda jaman
2026-10-16 09:37:15
2
Joyce Massawe :
Poleni sana Jmani inauma saana
2026-10-15 18:03:20
1
Imalda Jovin :
poleni
2026-10-15 16:24:47
1
BILL ADAMSON :
Dah nimeumia sana
2026-10-15 22:28:54
1
my baby ♥️💕💓💜🩵💚 :
duuh poleni
2026-10-15 16:51:11
1
G vonny💦🦋 :
pole
2026-10-15 15:21:54
1
Dadavision Store :
jamani debora nini kimempata jamaniii uwiii
2026-10-15 16:41:03
5
Nunu store 🛍️ :
😭😭😭😭pumzika salama debora wangu 😭😭
2026-10-15 15:06:40
2
INNOCENTRE MZUNGUU :
rip
2026-10-19 18:55:41
0
flower 🌹👌 :
mbona kama namujua mama yake naye alifariki mwezi wa nane au na mfananisha jman😢
2026-10-19 15:16:34
0
maria mwalolela :
polen
2026-10-19 12:52:04
0
user1252214145006 :
Ohoo jamn alishindwa kubeba maumivu mpka na yeye ameondoka poleni sana😭😭😭
2026-10-19 11:41:29
0
Lindah Njau :
Ni ngumu sana kuamini jamani imekuwa mapema sana😭😭😭😭
2026-10-15 15:34:37
0
To see more videos from user @deborahanthony853, please go to the Tikwm
homepage.