Ni ukweli kabisa, ila washindwe, No weapon fashioned against our lives, it shall prosper in Jesus name
2026-10-21 12:59:32
0
sarahmichael :
Amen napokea kwa jina la yesu
2026-10-15 16:01:07
22
Jovitha Rwabizi🌹❤️ :
Amen in Jesus name
2026-10-19 23:05:14
0
d'e vetch🪻🤍 :
amen 🙏🙌 be blessed
2026-10-19 20:07:32
0
ishungu :
samahn mtumishi et kusuka rasta ni dhambi???
2026-10-15 18:10:16
3
Lola :
No weapons formed against me will prospour.
2026-10-18 05:32:38
3
gracemwasu :
Mbona ameiambia nchi lisikie Neno la BWANA??Mstari wa 30:: Bwana asema hivi::: hapo aliongea adui au Bwana Mungu mwenyewe??
2026-10-15 16:28:07
3
Dr Alex :
yerem 22:29-30
2026-10-16 18:42:18
4
I❤️🫂God 🥰 I ❤️@ceama2020 :
hiyo mbona ndogo rafiki yangu kasome
zaburi 109:1-31
halafu unaniambia aweee na nimewahi kumfungia mtu na kumnenea kupitia hiyo zaburi aweeee
2026-10-17 02:46:20
5
Charly Mbokani :
Amennnnnnnnn
2026-10-15 15:57:30
1
Dorice Mayollo :
true!
2026-10-15 15:57:23
0
Machigao :
Very true
2026-10-18 18:57:57
1
enock :
amina
2026-10-15 16:27:50
0
Mseremi🌹 :
amen
2026-10-15 17:03:08
1
user3831145309962 sophia :
napokea kwa jina la yesu kristor 🙏🙏
2026-10-16 09:04:37
1
bernard__john :
Amen
2026-10-15 16:22:16
0
Loveness John :
Mh ubarikiwe
2026-10-16 16:32:12
1
mwegohaspafacialmoro :
Umekuja wakat saa hii sa 23:33 ningelala bila kuomba
2026-10-15 20:34:12
1
Franco :
kwmba kuna watu wana geuza maandiko ili kutuloga??
2026-10-15 17:21:01
0
Yuzo MAPOCHI :
amina pia kingne kina sema nami nitanena na mbingu na nchi visikie maneno ya kinywa changu.Kumbukumbu la Torati 32
1 Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitanena; Na nchi isikie maneno ya kinywa changu.
2026-10-15 16:59:32
3
MOTO QUEEN :
Shaloom pastor....kwani hauna glupu la maombi usiku?..naomba kamalipo niungwe
2026-10-16 08:58:47
0
AnnaGuru :
Yaan mie naombaga hata nikiwa nasinzia
2026-10-16 17:11:29
2
Dada Sili🥰😘 :
Mimi Kuna mtu alikuwa ananionea mahali ninapopatia ugali nakumbuka ilikuwa J4 nikamwambia mm apa nimeletwa na Mungu, Sasa naenda kukushitaki kwake na ninamwambia unanionea Sasa kabla ya hii wiki kuisha utambue yupo ninayemwabudu, jioni nikazama magotini,,, Aloooooo , ilipta cku 1 ya pili kilinuka,, had Leo tunaheshimiana.
2026-10-19 20:30:07
2
To see more videos from user @prophettj1234, please go to the Tikwm
homepage.