@bongofive: Mjomba Mbega anasema Mke wake Mama Mchaga amabaye siku za hivi karibuni wanatarajia kufunbga ndoa anasema walikutana kwenye mazingira ya aina yake ambapo kwa wakati ule alikuwa anauza Genge na baada ya kuwa nae milango mingi ikafunguka klupitia Mama Mchaga Imeandaliwa na @abbrah255
Bongofive
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 14:56:48 GMT
Music
Download
Comments
Bayser :
Kama ni Mchanga basi kaka usijimalize
2026-10-15 18:05:30
23
Chagaaboy :
BMW Series 1.. 2018 - 2019 hiyo..
2026-10-15 16:38:47
8
neemadavid170 :
Wachagga
Oyeeeeeeeeeeeee[Victory]
2026-10-15 22:27:33
0
Game Of Life :
weka akiba ya maneno...
2026-10-15 18:44:48
11
Frankk kibululu :
Sasa si bado hamjafika mwisho
2026-10-15 17:31:26
5
😎 :
Udogo upi. Na wa nini anazungumzia uyu?🥺
2026-10-15 19:25:31
2
king Dennis :
asantee heshima
2026-10-15 17:50:27
1
simba_aluminium🦺 :
Tuseme nn sas
2026-10-15 16:27:05
4
J”O”H”N” :
Atamm nawapenda wachag😍😍
2026-10-15 20:04:37
1
laswayjr :
Kw kweli ni mrembo mashalaah
2026-10-15 19:33:27
2
FRANK DE BREEZY :
2026-10-15 19:15:42
2
D.A.V.I.S :
2026-10-15 19:53:43
1
Rungu boe🌡️ :
Namba EUU
2026-10-15 19:11:17
1
Barbie🌹 :
Subir abadilishe majina ya hati za nyumba ndo utaelewa
2026-10-15 20:39:31
0
sevesevendash :
kwel kbsa brother
2026-10-15 16:41:32
4
Frankk kibululu :
Wanawake😁
2026-10-15 18:13:52
2
FungoGB :
Km ni mchaga broo Punguza maneno broo
2026-10-15 16:18:14
13
chau :
ni mdogo hatokua mkubwa
2026-10-15 17:23:08
6
Kairo :
Si wameishi mbezi kibanda cha mkaa mwisho wa noah? Na genge lilikua Temboni? AYA MWANETU 😁
2026-10-15 17:34:05
4
Iam sheddy :
Lazima muachane labda sio mimi
2026-10-15 18:51:47
3
Familia Kibena :
ndugu yangu weka akiba ya maneno uyo ni mchaga
2026-10-15 17:22:56
4
Mshangazi :
Kama movie za kinigeria vile
2026-10-15 16:54:18
4
widecreator :
hakuna relationship itadumu kwenye bundle lango
2026-10-15 19:48:33
1
💲💎$TËV£💎💲 :
hatupendi watu kupendana kwenye mabando yetu😂😂 tunawaloga😂😂
2026-10-15 20:33:27
1
mulastar255 :
Jimalize
2026-10-15 20:29:51
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.