@softena100: we mje kahama tutakuwa huko tarehe 21 Hadi 31 VIWANJA VYA magufuli tunapima ngozi kwa mashine tunashauri kitaalam na kukupatia bidhaa sahihi zenye matokeo ya uhakika kuendana na tatizo lako la ngozi Yako

Softena100
Softena100
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 15:14:42 GMT
12623
710
123
37

Music

Download

Comments

latefalatefa622
latifa :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] nitafutie tajiri
2026-10-16 09:42:57
1
brightness8161
BRIGHTNESS 🌞 :
hapooo[Tears of joy][Tears of joy]status moja kwa moja
2026-10-15 17:16:55
0
reginayohana4
reginayohana4 :
ninamume masiniki wamwisho nduniani hata nyumba hana tumepanga chumba chagiza lakini tunapendana hadi naogopa[Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-16 16:12:47
1
allymkm2323
✨✨millito💫 :
yani MTU akikaa Tu kwenye gari anaanza kukushauri.
2026-10-16 10:24:28
9
richard.daniel62
Richard daniel :
Hakuna maskin alie hai
2026-10-16 05:47:54
4
rashidseif315
Rashid Seif :
nlitamani nkuone dada wee
2026-10-16 11:24:34
0
anita38756
Anita :
❤️❤️❤️me ninae uyo mwanaumee akipata milion analala mpakaa iisheee
2026-10-15 20:37:38
9
muhimpundu.jacq
Muhimpundu Jacq :
ndiyo dada
2026-10-15 15:51:56
4
al.kindi99999999
꧁𖣔𝓗𝓐𝓟𝓟𝓘𝓝𝓔𝓢𝓢𖣔꧂ :
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: “In yakuunuu fuqaraa-a yughnihimullaahu min fadhlihi, wallaahu waasi’un ’aliim.” Surat An-Nuur, aya ya thelathini na mbili. Maana yake ni kwamba, Mwenyezi Mungu anawahimiza watu kuoana na anawapa matumaini ya kupata riziki kutoka Kwake. Usiogope kuoa au kuolewa kwa sababu ya umasikini. Mwenyezi Mungu ndiye Mtoaji wa riziki na Mkwasi. Leo unaweza kuwa huna kitu, lakini kesho Mwenyezi Mungu anaweza kukufungulia milango ya riziki ambayo hukuitarajia. Ndoa ni jambo lenye baraka; usikate tamaa. Fanya juhudi, tafuta riziki ya halali, na muombe Mwenyezi Mungu akubariki. Aya hii inatufundisha tusikate tamaa na rehema za Mwenyezi Mungu, lakini haimaanishi utajiri wa haraka kwa kila mtu. Ewe Mwenyezi Mungu, tubariki katika ndoa zetu, tufungulie riziki ya halali, na utujaalie maisha yenye baraka, upendo na utulivu. Aamiin.
2026-10-16 14:28:21
1
bobbyhemmitt5
BobbyHemmitt :
wambie hao mdada maana wana jeuri sana
2026-10-15 17:33:21
3
marry.jumbe.salum
Marry jumbe Salum :
dada twapenda mackini twawapenda mackini twawauzi cc
2026-10-16 12:47:07
3
dulasofa
dush mc :
ira dada mbona kunahao matajiri wanawapiga risasi au hawaonekani tunaoneka sisi masikini daa aisee
2026-10-15 19:47:44
3
user5432431092924
Boniface :
nachekat mimijamani
2026-10-16 11:25:14
1
user818263508440
user818263508440 :
Tajiri na masikini wote ni wamungu tusibaguane.
2026-10-16 10:58:09
1
bonifacemeena
Bm :
Maskini mimi nina mikataba unasighn na uniachi mpka unitafutie atakaeweza kuendelea namm😂
2026-10-16 14:52:57
0
seba.boaz
Seba Boaz :
ni mbaya ila ni kwel
2026-10-16 07:45:28
2
hamza.massoud7
Hamza Massoud :
wewe mungu yupo
2026-10-16 04:44:55
1
mohamedihamadi346
PAUMELE255 :
dada hii nimeipenda lakini ningependa zaidi kama ungesema baadhi ya wanaume masikini sio wote tuko ivyo!!
2026-10-17 04:58:45
0
mida2592
mida :
kabisaa
2026-10-16 18:06:02
0
seif.mohamed5872
Swaifllah muhammad :
subhanallah utajiri ni roho ya mtu na si vitu
2026-10-16 16:33:29
0
user30530601457464
shairan janjaa :
hahahaha 😂😂😂
2026-10-16 21:32:04
0
user7410868539567
Cuzzy Cousin :
mama mkwe shkamoo mkewangu ajambo 🥰🥰🥰
2026-10-17 05:51:07
0
munira.munira338
Munira Munira :
acha hivo dada maskin nae mtu tena maskini anaupendi mzuri sana
2026-10-16 16:36:04
0
edoboysabun
𝔼𝕕𝕠𝕓𝕠𝕪 𝕊𝕒𝕓𝕦𝕟𝕚𝟞𝟟 :
nakuanjia vyote
2026-10-16 16:45:53
0
mutambuka.iddy
mutambuka Iddy :
2026-10-16 19:30:44
0
To see more videos from user @softena100, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About