@amirah5g:

amirah5g
amirah5g
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 15 October 2026 15:19:29 GMT
77430
2459
358
464

Music

Download

Comments

esterlisher
Mama G ♐️ :
dodoma ndo inafuata ikitoka Arusha sahz aisee
2026-10-15 17:43:45
37
ashuy_bae
ashuuy_bae :
jamani kama amtutaki turudisheni kwetu atajauwa jamani😭😭
2026-10-15 16:17:23
54
user2967008009848
cute annay :
poleni jamani
2026-10-15 16:42:43
0
christina.mandala6
Christina Mandala :
mimi nilikua natishiwa na mwanaume wangu kuniua alafu nikambiwa baba yake alisha wahi kuua kila cku nambiwa nitakuua nikufungie ndani had wajue nimeisha fika mbali nikamwamby kaka yangu ndo akanambya niondoke ningeisha kufa akaoa mwanamke mwingine kweli kamuua kwa kumkata mapanga 😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-15 17:15:05
47
asmaamaulid200
Asmaa Maulid 98% :
mm mme wangu alinitishia kisu na kesho yake alivyoondoka kazin na mm nikaondoka mpaka leo hatujawah kuongea na nalea watoto pekeangu
2026-10-15 16:53:31
46
aylah911
Cute aylah💕💕 :
nisikie mtu ananipa kadii ya ndoa
2026-10-15 18:10:44
7
pinaafrika1020
pinaafrika1020 :
duh!! 🥲
2026-10-15 17:51:26
0
user7981726935465
Lucy liquor store 🍺 :
lkn me niliwaambia kama akuna ulazima usiolewe
2026-10-15 17:00:03
24
melisiana79
Melisiana :
ukiona ndoa inasumbua ondoka kuliko kuuliwa jamni msione aibu kuachika tulioachika tupo wengi jamani loooh
2026-10-15 18:08:06
9
prophet.john71
Prophet John :
wanawake tunawaomba mjitafakari
2026-10-15 17:49:46
5
najmaa.mohamed3
Najmaa mohamed :
mume wangu kokote ulipo ukionaa tumeshindwana we nirudishee tu kwet baba
2026-10-15 16:45:27
7
mamabtz
Helen :
dah hii dunia jamani
2026-10-15 17:06:19
6
teddyboniface6
Teddy :
poleni jamani
2026-10-15 18:48:04
1
monalisaally
monalisaally :
Mimi kuna siku nilitishiwa sululu kichwani na mumewngu nyie niliishiwa nguvu wiki mzima
2026-10-15 16:32:19
12
saudaiddy7
sauda iddy :
Too much😭😭😭😭
2026-10-15 18:03:09
1
mahyaa69
Mahyaa🥰🥰 :
Ila wanaume sahizi wanaona kama sifa kuua 🙌🙌🙌
2026-10-15 17:03:05
6
kirizant0
kirizant :
Mimi ndomaana niliamua kuondoka acha wanao Cheka waendelee kucheka me nipo naendelea kumlea mwanangu ctak kabisa kuuliwa kisa ndoa
2026-10-15 17:20:42
8
benadetha.gesase
Benadetha Gesase :
mungu Wangu tutaenda wapi mbona mambo yametushinda
2026-10-15 17:27:21
6
mankaa838
witnessjonas230 :
mimi nilisema siku mme wangu atanipiga Ata Kofi tutaishia apo na nilishamwambia anajua ilo na namwomba Mungu sana isitokee na hata tukikosanaga najifanyaga mjinga nanyamaza zangu asira zake zikiisha tunazungumza kwa aman na yanaishaa uzuri Ata kufoka ajuagi Sema nikijua kakwazikaa nakaaga kimya
2026-10-15 18:07:31
5
user6101433615229
user6101433615229 :
kwa kina ndoa mbn me sitaenda 🙌
2026-10-15 17:05:40
8
ndauka599
ndauka599 :
Yan sijui kwann huu mwaka vifo vya ajabu mwak huuu mmmh 😭😭😭
2026-10-15 15:28:26
11
user18635142672816
user18635142672816 :
me sahivi yangu naitowa ata kwa mtungo hi dunia hpn kwa kweli
2026-10-15 16:38:01
8
newfatma
newfatma :
Mimi niliambiwa IPO siku wazazi wako watanilaumu nkaomba msamaha tukalala asubuhi nkaamkia polisi amekuja kukamatwa kufika ananiona nkasema apa ntaka talaka sina maneno mengi ishu ikarudishwa hom na aliiandika huku analia alniacha na mimba sasa hivi Dogo Ana miaka 7 nalelewa mm na mwanae Nina Amani sana
2026-10-15 17:31:25
6
dragongirl369
dragongirl369 :
Babah tuzae tu ila kila mtu aishi kwakwe
2026-10-15 21:29:33
0
theobartkingamkon
theobartkingamkon :
dawa ya moto ni moto ukichoka kwenye ndoa ondoka dhalau haitakiwi
2026-10-15 20:08:38
3
To see more videos from user @amirah5g, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About