@t.y.c.o.n.y30: Kak mm cna cha kusema ila tunasema mbele yako nyuma yetu kak ila bdo nnakuwaz familia ulinipa jina la Tozzy alaf mm sela ila ww ulikua unanikatalia kak uwakika ww familia yang tandale yote ww ndo familia ila kweny life kuna time inabid tujifunzena vingi san nakumbuka kwenye show yang mm na ww kuonana kabla cjasafili uliinita kwa saut ww Tozy tyu nakumbuka iyo kak leo umejua kuniliza familia nlijua nkilud ntakuja kukuona ila daaah mungu ndo anajua kak na akosei ety