@massoudkhaifan: Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia si mwisho wa safari yetu, bali ni nafasi ya kujifunza, kukua na kugundua uwezo ambao Allah ameuweka ndani yetu. 🤍🌿 Usikate tamaa kwa sababu ya leo, kwani kwa idhini ya Allah, kesho inaweza kuja na kheri usiyoitarajia. Endelea kujitahidi, omba dua na mtegemee Mola wako katika kila hatua. Allah atujaalie tusikate tamaa, atubariki katika juhudi zetu na atupe kesho yenye kheri kuliko leo. Aamiin Ya Rabbal-‘Aalamiin. 🤲🏽 #jumaamubarak #foryoupage #foryou #viral