@hearthaneef: Je, umewahi kujiuliza ni chakula gani kinachopendwa zaidi na majini? Shaykh Abul Fadhli Qassim Mafuta (حفظه الله تعالى) anafafanua jambo hili muhimu, akitupa elimu sahihi, tahadhari, na uelewa wa kiitikadi kulingana na Qur'an na Sunnah. https://share.google/TEH1piR5BaSdBULn1 #qassimmafuta #sheikhqassimmafuta #ahlutawheedmedia #majini #itikadi